Thanx mamito kwa darsa.
Sasa hapa tunatumia pan ya aina gani? Ya chila au ya chapati za maji?
Ya chila ndio nzuri zaidi....ila kama ya chapati una brush mafuta kdg sana ili zisigande..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Okee. Mi yangu ya chapati iko vizuri. Sema pana sana
Kama pana sana waweza fanya viduara vingi vya pancake kusave mda....
Ok. This is good. Thanx habibty
Mahitaji....
1)unga wa ngano kikombe 1
2)baking powder 1teaspoon
3)sukari 2 tablespoon..
4)maziwa kikombe 1
5)yai 2
6)chumvi 1/4 teaspoon
7)siagi iliyoyayushwa 2 tablespoon au vegetable oil...
Namna ya kutaarisha.
1)changanya unga,sukari,chumvi,baking powder na weka pembeni
2)kwenye bakuli jengine weka mayai,maziwa,siagi au vegetable oil....changanya vizuri
3)mimina mchanganyiko wa maziwa katika unga...changanya vizuri hadi kupata uji mzito
4)weka pan yako jikoni moto kiasi....then weka mafuta kidogo sana ili pancakes sizigande..
5)chukua upawa chota mchanganyiko na mimina taratibu kwenye pan acha yenyewe itawanyike...
6)subiria hadi ukiona pancake inatoa mapovu juu then geuza...fanya hivo hadi kumaliza
7)pancake tayari kwa kuliwa....waweza mimina asali juu yake kwa ladha nzuri zaidi...
yumyum...kesho ntaamka nayo hii..
2)kwenye bakuli jengine weka mayai,maziwa,siagi au vegetable oil....changanya vizuri
..
Na yenyewe yawe ya moto (yachemshwe kwanza) ?
Shukraan.....karibu sana..
Ubuyu wa babu issaπ±π±π±π±π±π±π±π±π±
A.alaykm, vp wajionaje na hali?
Jana Sunday nimepika pan cakes, kids wamezipenda sana sana. MashAllah.
Mimi pia nimezipenda sana.
To be honest sikuwahi kula, ndio kwanza jana nimekula.
They r so sweet, thanx darling.
Na chickens nuggets na rojo la ukwaju pia wamependa, Two past Sundays nimewapikia. Thank u habibty, jazakallahu lkheir.
Ubuyu wa babu issa wautaka kweli? Una mda gani hujaula?
U welcome habibty....
Nimeletewa mwingi wote nimekula siku moja hadi meno yameumaπ±π±π±π±π±π±π±
Weeknd hii ntajaribu kufiata maelezo .
Japo inaonyesha kazi ngumu.