- Thread starter
- #61
Fakhrina asante kwa darasa dada.. Nimejaribu nimeona urahisi sana kuandaa yani muda ni mfupi sana. Ila zilitokea na vijitundu kwa upande wa juu. Chini it was so smooth je nimekosea nini. halafu sikuweka mafuta kabisa ..i want to try it again this weekend ... Ni tamuu
Vitundu havina tatizo kabisa ni matokeo ya baking powder kufanya bubbles my dear...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums