Pande 2 za vijana wanaokosoana mtandaoni kwa sababu ya misimamo yao ndani ya chama chao

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Posts
5,602
Reaction score
3,845
Nionavyo mimi:

1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana.

Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides".

2) Kwa upande mwingine, ni mawazo yanayoleta fikira mpya. Kwa hiyo, kuna: thesis + antithesis=synthesis.

3) Je, wewe unasemaje?
 
Ni kawaida misigano ya mawazo kutawala, ktk vyama vinavyoheshimu demokrasia kama chadema.

Hii ndiyo afya ya chama sasa. Siyo kama lile chama chakavu la kijani, mwenyekiti akisema ndipo machawa na makunguni yanatoka uvunguni na kuanza kusema. Vinginevyo yanakaa kimya kabisa.
 
Hatusigani tunatoa hoja

Hoja ujibiwa kwa hoja

Mbowe kachoka anatakiwa kupumzika huo ndio ukweli!!

Anayekataa hajachoka aje na hoja zake hapa tumuulize kutoka kuwa na wabunge 100 na kuwa na mbunge 1 sio kuchoka?

Serikali za mitaa 2014 na leo 2024 kupromoka sio kuchoka

Shule inapofelisha mkuu wa shule ndio anawajibika!!

Kama ambavyo CCM ikifeli samia ndio anawajibika hivyo hivyo mbowe awajibike !!
 
Hapo ni wao kwa wao, je ingekuwa mtu tofauti ingekuaj
 
Hatusigani tunatoa hoja

Hoja ujibiwa kwa hoja

Mbowe kachoka anatakiwa kupumzika huo ndio ukweli!!

Anayekataa hajachoka aje na hoja zake hapa tumuulize kutoka kuwa na wabunge 100 na kuwa na mbunge 1 sio kuchoka?

Serikali za mitaa 2014 na leo 2024 kupromoka sio kuchoka

Shule inapofelisha mkuu wa shule ndio anawajibika!!

Kama ambavyo CCM ikifeli samia ndio anawajibika hivyo hivyo mbowe awajibike !!
Shida ya unachosema ni kuwa Mbowe hajasema kuwa atagombea tena. Kila mtu anajua kilichotokea katika chaguzi zilizopita. Au unaamini kuwa Lissu angekuwa Mwenyekiti angemshinda Magufuli na kupata wabunge wengi kuliko ilivyokuwa 2015?

Amandla...
 
Sio angemshinda tatizo ni kumfanya mwizi lowassa kuwa mgombea wetu lilikuwa kosa la karne alitakiwa kujiuzulu!!
 
Wote walikubaliana. Kama kujiuzuru hata Lissu alipaswa kujiuzuru. Lengo lilikuwa ni kupata wabunge na kwenye hilo walifanikiwa.

Sifa ya Mbowe ni kuwa anafikiria mambo strategically wakati nyie mnataka instant gratification. Mgombea wenu kipenzi nae aliunga mkono juhudi mapema tu. Hivi hamjiulizi ingekuwaje kama angefanya hivyo akiwa mgombea wa CDM? Hata wakina Sumaye wako wapi sasa? Na angekubali wito wa kumfanya Membe awe mgombea ingekuwaje? Yeye na timu yake huwa wanafikiria mbali sana.

Nasema mbowe kwa sababu yeye ndio alikuwa top kumpokea lowassa Lissu alikuwa na cheo gani chadema

Uliona aliyekuwa katibu Mkuu alijiuzulu na kuondoka
 
Alikuwa sehemu ya Kamati Kuu. Hawezi kuchomoka hapo. Na kama atajaribu kujitoa leo tutajua kuwa ni opportunist kama walivyokuwa wengi.

Katibu Mkuu alikimbilia CCM ambako alitumika kubeza CDM. Si angalau wakina Halima ambao pamoja na yote hawajawahi kuibeza CDM hadharani.

Amandla...
 
Back
Top Bottom