Shida ya unachosema ni kuwa Mbowe hajasema kuwa atagombea tena. Kila mtu anajua kilichotokea katika chaguzi zilizopita. Au unaamini kuwa Lissu angekuwa Mwenyekiti angemshinda Magufuli na kupata wabunge wengi kuliko ilivyokuwa 2015?Hatusigani tunatoa hoja
Hoja ujibiwa kwa hoja
Mbowe kachoka anatakiwa kupumzika huo ndio ukweli!!
Anayekataa hajachoka aje na hoja zake hapa tumuulize kutoka kuwa na wabunge 100 na kuwa na mbunge 1 sio kuchoka?
Serikali za mitaa 2014 na leo 2024 kupromoka sio kuchoka
Shule inapofelisha mkuu wa shule ndio anawajibika!!
Kama ambavyo CCM ikifeli samia ndio anawajibika hivyo hivyo mbowe awajibike !!
Sio angemshinda tatizo ni kumfanya mwizi lowassa kuwa mgombea wetu lilikuwa kosa la karne alitakiwa kujiuzulu!!Shida ya unachosema ni kuwa Mbowe hajasema kuwa atagombea tena. Kila mtu anajua kilichotokea katika chaguzi zilizopita. Au unaamini kuwa Lissu angekuwa Mwenyekiti angemshinda Magufuli na kupata wabunge wengi kuliko ilivyokuwa 2015?
Amandla...
Wote walikubaliana. Kama kujiuzuru hata Lissu alipaswa kujiuzuru. Lengo lilikuwa ni kupata wabunge na kwenye hilo walifanikiwa.Sio angemshinda tatizo ni kumfanya mwizi lowassa kuwa mgombea wetu lilikuwa kosa la karne alitakiwa kujiuzulu!!
Nasema mbowe kwa sababu yeye ndio alikuwa top kumpokea lowassa Lissu alikuwa na cheo gani chademaWote walikubaliana. Kama kujiuzuru hata Lissu alipaswa kujiuzuru. Lengo lilikuwa ni kupata wabunge na kwenye hilo walifanikiwa.
Sifa ya Mbowe ni kuwa anafikiria mambo strategically wakati nyie mnataka instant gratification. Mgombea wenu kipenzi nae aliunga mkono juhudi mapema tu. Hivi hamjiulizi ingekuwaje kama angefanya hivyo akiwa mgombea wa CDM? Hata wakina Sumaye wako wapi sasa? Na angekubali wito wa kumfanya Membe awe mgombea ingekuwaje? Yeye na timu yake huwa wanafikiria mbali sana.
Amandla...
Alikuwa sehemu ya Kamati Kuu. Hawezi kuchomoka hapo. Na kama atajaribu kujitoa leo tutajua kuwa ni opportunist kama walivyokuwa wengi.Nasema mbowe kwa sababu yeye ndio alikuwa top kumpokea lowassa Lissu alikuwa na cheo gani chadema
Uliona aliyekuwa katibu Mkuu alijiuzulu na kuondoka