Pandu Kificho: Spika mwenye hekima iliyopindukia...

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
 
Hajakutana na makubwa huyoo

Kwa vigezo gani na kwa muda gani. Unawezaje kumpima mtu kwa siku na wala sio mwezi ukilinganisha na Spika Pius Msekwa miaka 10, Sita miaka mitano, Mkinda miaka 31/2

Ni kweli busara zimemjaa sana huyu mzee. Anajua jinsi ya ku cool down point za wabunge hao maana wengine wanaishia hata kutaja mambo ya ukameruni!!!
 
ona the way alivyo passion mwenye wingi wa subira na jinsi anavyoweza "KUZIZIMA HOJA ZA KITOTO KWA KUZIPUUZA KIRAHISI KABISA"

Kwahiyo kwako kuzima hoja ndio umakini wa spika? Au mnatoka sehemu moja huko zenji unapalilia hiyo posho ya 300000/=?
 
Kwa vigezo gani na kwa muda gani. Unawezaje kumpima mtu kwa siku na wala sio mwezi ukilinganisha na Spika Pius Msekwa miaka 10, Sita miaka mitano, Mkinda miaka 31/2

Ni spika sasa kwa miaka 18 wa baraza la wawakili,ana busara sana kuliko maspika wote waliowahi kushika uspika tanzania nzima
 
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?

elimu yake ni kidato cha sita na ana diploma, cjakuelewa msomi wewe, diploma si elimu? Tena ana diploma ya miaka hiyo ya sheria, unaweza mlinganisha na digrii zetu za sasa? Jiongeze
 
Pandu ameri kificho ni spika wa miaka 18 sasa na ana busara sana kuliko maspika wote tz,amekutana na misukosuko mikubwa sana ya cuf na ccm wakati huo watu wanapigana na kuuana kwa siasa,anaepinga hamjui kificho kamuona kwenye bunge la katiba tu
 
elimu yake ni kidato cha sita na ana diploma, cjakuelewa msomi wewe, diploma si elimu? Tena ana diploma ya miaka hiyo ya sheria, unaweza mlinganisha na digrii zetu za sasa? Jiongeze
Anyway can u compete him na wasomi wetu wa leo wenye phd?ambao eti hawachapwi viboko
 
Anajitahidi, ila bado mapema mno kumlinganisha na hao uliowataja. labda kama unalifuatilia baraza la wawakilishi linavyoongozwa ndo angalau kidogo unaweza kulinganisha pamoja na kuwa bado kuna tofauti kubwa tu ya hivi vitu
 
Kwa vigezo gani na kwa muda gani. Unawezaje kumpima mtu kwa siku na wala sio mwezi ukilinganisha na Spika Pius Msekwa miaka 10, Sita miaka mitano, Mkinda miaka 31/2

Kwa vigezo vya siku hiyo moja uisemayo amemudu, labda nikukumbushe unahitaji kufungua mdomo mara moja tu watu kujua una busara au la. Kama atakuja kuharibu hapo baadaye tutamjaji kwa hilo, lakini so far yatosha kumpa sifa!!
 
Umejibu kipengere kimoja tu. Hujaweka vigezo vyovyote ulivyotumia kuhitimisha maoni yako. Uongozi pia ni contingency ( unategemea mahali, aina ya watu unaowaongoza na wakati) Baraza la wawakilishi na Bunge la Jamhuri wa Tanzania) ni vitu viwili tofauti kwa maana ya watu na changamoto zake. Nikisikiliza mijadala ya Baraza la wawakilishi nikalinganisha na ile ya Bunge la Jamhuri ni kama naota ndoto. Linawafaa wenyewe. Hoja nyepesi mno na ndiyo maana hata mtu mwenye Diploma analiweza. Waliposema wanataka kutunga Katiba yao, hakuna aliyeweza kuona kama wanavunja Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Leo baada kuvunja ndipo wanaona maana ya kuwa na bendera wimbo wao waTaifa kuwa kumbe ilikuwa ni kuvunja Muungano. Kiongozi wa Baraza la wawakilishi ni huyohuyo unayemwita mwenye Hekima. Hekima maana yake ni kutatua migogoro bila ya kuleta athari zaidi kama Mfalme Seleiman wa kwenye Biblia. Alitatua tatizo la wanawake wawili waliokuwa wakigombea mtoto bila ya kupoteza uhai wa mtotowala kuumiza yeyote baina ya wanawake hasimu
Ni spika sasa kwa miaka 18 wa baraza la wawakili,ana busara sana kuliko maspika wote waliowahi kushika uspika tanzania nzima
 
Umejibu kipengere kimoja tu. Hujaweka vigezo vyovyote ulivyotumia kuhitimisha maoni yako. Uongozi pia ni contingency ( unategemea mahali, aina ya watu unaowaongoza na wakati) Baraza la wawakilishi na Bunge la Jamhuri wa Tanzania) ni vitu viwili tofauti kwa maana ya watu na changamoto zake. Nikisikiliza mijadala ya Baraza la wawakilishi nikalinganisha na ile ya Bunge la Jamhuri ni kama naota ndoto. Linawafaa wenyewe. Hoja nyepesi mno na ndiyo maana hata mtu mwenye Diploma analiweza. Waliposema wanataka kutunga Katiba yao, hakuna aliyeweza kuona kama wanavunja Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Leo baada kuvunja ndipo wanaona maana ya kuwa na bendera wimbo wao waTaifa kuwa kumbe ilikuwa ni kuvunja Muungano. Kiongozi wa Baraza la wawakilishi ni huyohuyo unayemwita mwenye Hekima. Hekima maana yake ni kutatua migogoro bila ya kuleta athari zaidi kama Mfalme Seleiman wa kwenye Biblia. Alitatua tatizo la wanawake wawili waliokuwa wakigombea mtoto bila ya kupoteza uhai wa mtotowala kuumiza yeyote baina ya wanawake hasimu

Unaposema bunge na baraza ni vitu viwili tofauti sikatai lkn pia km ni mfano huo nami nitakwambia kuwa bunge la jamhuri na bunge la katiba ni vitu viwili tafauti na tangu nchi ipate uhuru miaka 50 hii ni mara ya kwanza kukaa kwa kubadili katiba,sasa hapo utampima mtu kusema baraza na bunge vitu tofauti??hapa hujaambiwa chombo kipi kikali au kina hoja za kupigana na kubishana,kilichosemwa hapa na mtoa mada ni KUWA NA BUSARA ht km anaongoza serikali za mitaa kinachoangaliwa hapa ni BUSARA,na pia nadhani hujui au hufuatilii baadhi ya mambo,maana ktk vikao vilivyowahi kuendeshwa ktk bunge au baraza la wawakilishi hakuna vikao vilivyokuwa vigumu km vile vya cuf na ccm wakati ule wanapingana sana lkn kwa umakini na busara za kificho aliweza kutuliza kwa umakini mkubwa,nadhani ulikuwa mdogo au bado hujaanza kuyajua haya kwa vile jamii forum ilikuwa haipo,na khs kuvunja katiba ya muungano hawajavunja maana katiba ya zanzibar ilikuwa inaruhusu kabisa kubadili bila kuwa na kipingamizi,wazanzibar kabla kuungana walikuwa na nchi yao na katiba yao kabla kufanyiwa marekebisho,lkn sisi watanganyika kwanza tukaikataa tanganyika pamoja na kuizika katiba ya tabganyika,sasa kwa ujuha wetu tusiwalaumu wazanzibar kwa kuienzi katiba yao,jaribu kufuatilia na sio kujifanya mjuaji baada ya kuanza kuisoma na kuanzishwa kwa jamii forum.
 
Hajakutana na watu wenye hoja nzito za kuiyumbisha ccm... lazima atapata jazba then tutaona uzuri na ubaya wake
 
Back
Top Bottom