Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hajakutana na makubwa huyoohakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
Prove it. Kwani yeye si wa CCM?
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
ona the way alivyo passion mwenye wingi wa subira na jinsi anavyoweza "KUZIZIMA HOJA ZA KITOTO KWA KUZIPUUZA KIRAHISI KABISA"Fanya water therapy viroba vimekuathiri kwa kiwango cha juu mno
Hajakutana na makubwa huyoo
ona the way alivyo passion mwenye wingi wa subira na jinsi anavyoweza "KUZIZIMA HOJA ZA KITOTO KWA KUZIPUUZA KIRAHISI KABISA"
Nahisi huu ujumbe ulikuwa ni wa ZogwaleKwani tangu hilo bunge la katiba lianze kakutana na misukosuko ipi hadi uanze kumpatia credit? Bado hajakutana na changamoto na mihemko.
Kwa vigezo gani na kwa muda gani. Unawezaje kumpima mtu kwa siku na wala sio mwezi ukilinganisha na Spika Pius Msekwa miaka 10, Sita miaka mitano, Mkinda miaka 31/2
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
Anyway can u compete him na wasomi wetu wa leo wenye phd?ambao eti hawachapwi vibokoelimu yake ni kidato cha sita na ana diploma, cjakuelewa msomi wewe, diploma si elimu? Tena ana diploma ya miaka hiyo ya sheria, unaweza mlinganisha na digrii zetu za sasa? Jiongeze
Kwa vigezo gani na kwa muda gani. Unawezaje kumpima mtu kwa siku na wala sio mwezi ukilinganisha na Spika Pius Msekwa miaka 10, Sita miaka mitano, Mkinda miaka 31/2
Ni spika sasa kwa miaka 18 wa baraza la wawakili,ana busara sana kuliko maspika wote waliowahi kushika uspika tanzania nzima
Umejibu kipengere kimoja tu. Hujaweka vigezo vyovyote ulivyotumia kuhitimisha maoni yako. Uongozi pia ni contingency ( unategemea mahali, aina ya watu unaowaongoza na wakati) Baraza la wawakilishi na Bunge la Jamhuri wa Tanzania) ni vitu viwili tofauti kwa maana ya watu na changamoto zake. Nikisikiliza mijadala ya Baraza la wawakilishi nikalinganisha na ile ya Bunge la Jamhuri ni kama naota ndoto. Linawafaa wenyewe. Hoja nyepesi mno na ndiyo maana hata mtu mwenye Diploma analiweza. Waliposema wanataka kutunga Katiba yao, hakuna aliyeweza kuona kama wanavunja Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Leo baada kuvunja ndipo wanaona maana ya kuwa na bendera wimbo wao waTaifa kuwa kumbe ilikuwa ni kuvunja Muungano. Kiongozi wa Baraza la wawakilishi ni huyohuyo unayemwita mwenye Hekima. Hekima maana yake ni kutatua migogoro bila ya kuleta athari zaidi kama Mfalme Seleiman wa kwenye Biblia. Alitatua tatizo la wanawake wawili waliokuwa wakigombea mtoto bila ya kupoteza uhai wa mtotowala kuumiza yeyote baina ya wanawake hasimu