fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Elimu ya darasani ni nyenzo ya mzungu tu kuendesha mambo haina uhusiano na akili kichwani, hekima na busara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove it. Kwani yeye si wa CCM?
Kwa vigezo gani na kwa muda gani. Unawezaje kumpima mtu kwa siku na wala sio mwezi ukilinganisha na Spika Pius Msekwa miaka 10, Sita miaka mitano, Mkinda miaka 31/2
Uliza kwanza Matokeo ya Form six ya Mwenyekiti na Katibu wako ilikuaje wakashindwa kwenda Chuo Kikuu mpaka Katibu akapitia kwenye Certificate na Mwenyekiti mpaka leo yupo yupo hata ku reset kaogopa.huko chuo kikuu alipataje?
dah! Umemaliza?hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
Sio yeye tu katiba bunge hili wazanzibar walio wengi wanajenga hoja kwa busara, hata ukiwasikiliza ni watu wenye busara ukiachia mtu kama Jussa.hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
Sio yeye tu, ukiwaangalia wazanzibar wengi kwenye hili bunge ni watu wanaojenga hoja kwa umakini na ni wajumbe wanaotumia busara sana. Ukweli huu lazima sisi wabara tuukubali.hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?
A bright day is signalled by early morning prompts! Hekima haitetereki ukianza nayo na huyu, hata hivyo, ni Speaker wa baraza la wawakilishi kwa miaka mingi tu na hatujawahi kusikia akifanya madudu yanayofanywa na ma- Speaker ya ccm huku Tanganyika. The Tanganyikan Speakers should now learn how to run the august house from Kificho
kidogo nikueke sawa mkuu, Zanzibar kurekebisha katiba yao, walijua dhahiri kwamb wanavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano, bali cha muhimu kwao ni kuinusuru Zanzibar yao, maana Watanganyika walishamezeshwa kwamb Zanzibar sio nchi etiiii!!!Umejibu kipengere kimoja tu. Hujaweka vigezo vyovyote ulivyotumia kuhitimisha maoni yako. Uongozi pia ni contingency ( unategemea mahali, aina ya watu unaowaongoza na wakati) Baraza la wawakilishi na Bunge la Jamhuri wa Tanzania) ni vitu viwili tofauti kwa maana ya watu na changamoto zake. Nikisikiliza mijadala ya Baraza la wawakilishi nikalinganisha na ile ya Bunge la Jamhuri ni kama naota ndoto. Linawafaa wenyewe. Hoja nyepesi mno na ndiyo maana hata mtu mwenye Diploma analiweza. Waliposema wanataka kutunga Katiba yao, hakuna aliyeweza kuona kama wanavunja Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Leo baada kuvunja ndipo wanaona maana ya kuwa na bendera wimbo wao waTaifa kuwa kumbe ilikuwa ni kuvunja Muungano. Kiongozi wa Baraza la wawakilishi ni huyohuyo unayemwita mwenye Hekima. Hekima maana yake ni kutatua migogoro bila ya kuleta athari zaidi kama Mfalme Seleiman wa kwenye Biblia. Alitatua tatizo la wanawake wawili waliokuwa wakigombea mtoto bila ya kupoteza uhai wa mtotowala kuumiza yeyote baina ya wanawake hasimu
Uliza kwanza Matokeo ya Form six ya Mwenyekiti na Katibu wako ilikuaje wakashindwa kwenda Chuo Kikuu mpaka Katibu akapitia kwenye Certificate na Mwenyekiti mpaka leo yupo yupo hata ku reset kaogopa.
nshakwambia akili yako ni fupi sana kama ya nguruwe.... sio kila mtu ni CDM au CCM. msukule wwewe
ndio nini mhemuko...? Ni mapema sana kusema kuwa Jamaa ana hekima hata ya kutosha..Binadamu ni fallibleSisi waZanzibar hatuna mihemuko!!!
Weka hapa hiyo simple arithmetic ili wataalamu wa hizo hesabu to Prove hiyo Formula, isije ikawa hiyo Formula imetengenezwa na Mtei!
Pia kumbuka Intelligent hawezi kupata zero form six labda kama vigezo vya Chadema kumtambua Intelligent ni so special. Inawezekana huo u Intelligent wa Mbowe ndio uliomfanya kumlazimisha Prof Baregu ajitoe kwenye Tume ya Warioba kwa madai imejaa wababaishaji na wasio na weledi lakini leo hii amekuwa mtetezi mkubwa ya kazi ya ' wababishaji na wasio na weledi'. ETI Mbowe ni Intelligent halafu Prof BAREGU sio Intelligent!!!!!!!!
intelligence has nothing to do with schools or books, think again baby.
you explain it well! always booksmart overcomfident thereself and cause underperformance,but the "house/parliament need enough wisdom and intelligence"
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?