Wachezaji wakuachwa kwa mtazamo wangu ni
1:chriss Mugalu
2😛ascal wawa
3:Onyango
5:Bwalha
Hao ni wachezaji wa kigeni,wachezaji wa ndani wakuachwa ni
1:Erasto Nyoni
2:Muhilu
3:Gadiel
Kagere nadhani atapewa mkataba wa msimu mmoja tu unatosha na tumuage kwa upendo kabisa maana yeye ndio mshambuliaji wa kigeni mwenye goli nyingi hadi sasa kuliko mshambuliaji yeyote aliyewahi kucheza kwenye ligi yetu,mnyonge mnyongeni ila haki yake tumpe,kibu bado ni mapema sana kusema ameshindwa kudeliver kile ambacho tunatarajia wanasimba,bado umri unaruhusu chochote kinaweza kutokea,Israel mwenda kashindwa kabisa kuvaa viatu vya kapombe bado ataendelea kuwepo simba ila tutamtoa kwa mkopo timu yeyote kasoro Utopolo fc itayokuwa inamuhitaji,John bocco bado ataendelea kubaki simba maana kilichomkuta bocco ni sawa na kilichomkuta Dube nina imani mambo yatakuwa sawa [emoji1488]