Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

Hapo kwa Israel Mwenda, wamrudishe DUCHU anayekipiga Geita Gold FC kwa mkopo tafadhali!
 
Hapo kwa Israel Mwenda, wamrudishe DUCHU anayekipiga Geita Gold FC kwa mkopo tafadhali!
Kuna mada niliandika kwamba sioni kama Israel Patrick anamzidi chochote David Kameta Duchu..!

Duchu ana uwezo mkubwa kuliko Israel.
 
Watu wanaosema Bwalya aachwe nashindwa kuwaelewa kabisa, sijaona kiungo kama Bwalya kwenye ligi yetu sema anacheza na wachezaji wabovu ila jamaa ni mkali
Mkuu Bwalya amaeshatwaliwa mda.
So wanaweka mazingira ya kusema walikuwa hawamtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…