The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hakuna jipya. Kila sekunde si kitu bali vitu hutokea. So, ubashiri huu ni vague na wa hovyo.Asubuhi ya tarehe nane jana,kuna Uzi humu,mwamba alileta kwa kifupi sana, akisema masaa machache yajayo kuna kitu kitatokea,ila hakuaminika
Atakufa kabla jua na ikitokea kumbuka hii.Makonda ndiye yule 2030
Una dhani nampenda au kumkubali?, nami naomba asiwe ila yule tayari kasema ndie.Atakufa kabla jua na ikitokea kumbuka hii.
Who is he or she?Una dhani nampenda au kumkubali?, nami naomba asiwe ila yule tayari kasema ndie.
Tusubirie labda hatima ita badilika, ila 2030 ni tusiye mpenda.Who is he or she?
Tunachoshukuru kwa sasa zinavuja za uhakika tuzidishe maombi damu za Watanzania wenzetu hazijaenda bureAsubuhi ya tarehe nane jana,kuna Uzi humu,mwamba alileta kwa kifupi sana, akisema masaa machache yajayo kuna kitu kitatokea,ila hakuaminika
I agree. Ni sawa na kusema mwaka huu Kuna janga litatokea...Hakuna jipya. Kila sekunde si kitu bali vitu hutokea. So, ubashiri huu ni vague na wa hovyo.
Unaota ndoto au amekutuma.Una dhani nampenda au kumkubali?, nami naomba asiwe ila yule tayari kasema ndie.
Kulala kwenyewe sijalala, hiyo ndoto naiota vipi.Unaota ndoto au amekutuma.
Nime cheka kwa nguvu, nami nasubiri hicho kitendawili kina teguka vipi
View attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene alion
Ni awamu hii tu au ni awamu zote? Sisi binadamu tuna tabia ya kusahau.View attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko salama.
Ukilaumu, hauko salama.
Ukikosoa, hauko salama.
Ukiunga mkono, hauko salama.
Ukidhulumu, hauko salama.
Ukiongea, hauko salama.
Ukikaa kimya, hauko salama.
Ukiipenda, hauko salama.
Ukiichukia, hauko salama.
Ukiwa chawa, hauko salama.
Ukiwa na udhu kama mwanangu Joseph Warioba, hauko salama.
Ukisema ukweli, hauko salama.
Ukisema uongo, pia hauko salama.
Naona kuna kitu hakiko sawa.
Unaota ndoto au amekutuma.
Pangua pangua ni kawaida kwa baraza la mawaziriView attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko salama.
Ukilaumu, hauko salama.
Ukikosoa, hauko salama.
Ukiunga mkono, hauko salama.
Ukidhulumu, hauko salama.
Ukiongea, hauko salama.
Ukikaa kimya, hauko salama.
Ukiipenda, hauko salama.
Ukiichukia, hauko salama.
Ukiwa chawa, hauko salama.
Ukiwa na udhu kama mwanangu Joseph Warioba, hauko salama.
Ukisema ukweli, hauko salama.
Ukisema uongo, pia hauko salama.
Naona kuna kitu hakiko sawa.