LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
hivi makonda ni mkatoliki au mlutheri?Tusubirie labda hatima ita badilika, ila 2030 ni tusiye mpenda.
hivi makonda ni mkatoliki au mlutheri?Tusubirie labda hatima ita badilika, ila 2030 ni tusiye mpenda.
mkatolikihivi makonda ni mkatoliki au mlutheri?
Kama ni mkatoliki na nchimbi asha kula umakamu huo, basi tussi ulize ila tupigie mstari.hivi makonda ni mkatoliki au mlutheri?
yaani hao maFISIEMU ikiwezekana wauwane wenyewe kwa wenyewe, we don't care!View attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko salama.
Ukilaumu, hauko salama.
Ukikosoa, hauko salama.
Ukiunga mkono, hauko salama.
Ukidhulumu, hauko salama.
Ukiongea, hauko salama.
Ukikaa kimya, hauko salama.
Ukiipenda, hauko salama.
Ukiichukia, hauko salama.
Ukiwa chawa, hauko salama.
Ukiwa na udhu kama mwanangu Joseph Warioba, hauko salama.
Ukisema ukweli, hauko salama.
Ukisema uongo, pia hauko salama.
Naona kuna kitu hakiko sawa.
Eti mafisemu! Nimecheka hadi nalia.yaani hao maFISIEMU ikiwezekana wauwane wenyewe kwa wenyewe, we don't care!
Makonda ni funzamkatoliki
basi ni likely kuwa rais ajaye!mkatoliki
Yaani atoke division 4 ya point 33 aingie division zero?Nime cheka kwa nguvu, nami nasubiri hicho kitendawili kina teguka vipi
Ila kwa haya mabadiliko ya kuzungushwa hapa na pale, woiii hatma iamue kabla ya 2030