Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

yaani hao maFISIEMU ikiwezekana wauwane wenyewe kwa wenyewe, we don't care!
 
Hizi damu za maelfu ya Watanganyika alizomwaga huyu Jezebel zitamtesa sana
 
Sisi ni sovereign family hatupangiwi Cha kufanya, hivyo hivyo, viela vyenyewe vidogo vidogo majirani wanatugea, sisi tunauwezo wa kuwalisha kabisa, wasituchanganye haya ni maneno ya Baba alikua anasema kwa watoto

Paap, siku tatu kupita, kamtuma mkewe akaongee na majirani wampe angalau unga wa kupikia uji maana wanahisi kizunguzungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ njaa imekuwa kubwa na Yale aliyoyaongea hayakuwa maneno yake walimsingizia
 
Reactions: 004
Huu ni mwaka wa haki ,asema Bwana , msemayo ni kwa sababu hamjui Mungu amepanga nini, sio mda mtajua
 
Hii panga pangua mwaka huu itatokea sana kila baada ya mwezi 1 au 2 mwendo wa kusukuma kete tu.
 
Tulichofanikiwa kama nchi kuteua na kutengua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…