Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yea yeaa Ndada fahari ya kusini(yale ya mwena sanasana)[emoji4]Huku Nilipo ni Maji ya Mto tu kwenda MBERE ila Maji mazuri kwangu ni haya:-
1. SAYONA
2. DASANI
3. KILIMANJARO
4. NDANDA SPRING.
5. COOL BLUE.
New drop hayo1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika
Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.
Tupo pamoja mkuu sijaona mbadala wa kilimanjaro...1.kilimanjaro
2.kilimanjaro
3.kilimanjaro
4.kilimanjaro
5.kilimanjaro
Dew point yanaitwa ni mabaya Sana1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika
Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mimi top five ya maji yangu ni;
1:kandolo.
2😀owasa
3:Kisima
4:Mvua
5:Bwawani..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]