Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

1. Kilimanjaro
2. Zanzibar kool
3. Drop
4. Uhai
5. Masafi
 
1.Dodoma
2.Mara
3.Mwanza
4.Shinyanga
5.Dar es salaam
.....! Sorry nilikuwa sijasoma heading vizuri.. Ntarudi kukoment
 
1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika

Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.
New drop hayo
 
Dew point yanaitwa ni mabaya Sana
 
Mimi top five ya maji yangu ni;
1:kandolo.
2😀owasa
3:Kisima
4:Mvua
5:Bwawani..

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
1. kilimanjaro
2. maji africa
3. afya
4. uhai
5. rocks
 
1. Guiness (Foreign Extra)
2. Hakuna
3. Hakuna
4. Hakuna
5. Hakuna
 
Kilimanjaro jina. Ubora upo Udzungwa.
Screenshot_20180511-143820.jpeg
 
Back
Top Bottom