Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu hadi chini, tukumbuke tatizo la Afrika ni watu na si rasilimali.
Najua wapo wazembe ila wengi Wana uzoefu, wapo wenye uwezo lakini nafsi zetu wateuaji haziwataki.....ajira post Ni chache. Tusubirie Tuone utumbuaji utapeleka Nani