Tetesi: Pangua pangua serikalini yaja, JIANDAENI Kisaikolojia

Tetesi: Pangua pangua serikalini yaja, JIANDAENI Kisaikolojia

Kabisa, hii serikali ilikuwa inaburuza (vuta) watu kwa namna isiyo sahihi kwenda kufeli kiuchumi,kijamii na kisiasa.

Kwao wanaLumumba hawaoni ubovu wa uongozi wa serikali ya CCM Mpya uliokwamisha nchi na sasa kuna kundi la watu wameamua kuipamba kuwa kuna watu walioshindwa kwenda na kasi ya gari hili bovu lilokwama ambalo halitembea.

CCM hii 2015 -2025 imeua uchumi, imeua shughuli za kisiasa siyo tu ktk upande wa vyama vingi tu, bali hata ndani ya CCM yenyewe imeshindwa kuikosoa serikali yake ili "ijisahihishe" na pia CCM Mpya imeua mshikamano wa waTanzania kijamii huku wananchi wote bila kujali vyama tukisubiri 2025 ifike CCM Mpya waondoke tuanze upya kujenga misingi sahihi iliyokuwepo ambayo imevunjwa na kundi hili linalojiita CCM Mpya.
👊👊
 
Unatumia miezi miwili "kutafuta" viongozi halafu wanakaa mwezi mmoja unaona "hawafai"

Sijui nani hafai hapo sasa.
 
Hii serikali ya Jiwe ni sawa na baba mlevi anayetumia mshahara wake wote kulewa huku familia yake inakufa na njaa; juu ya hayo baada ya kufuja mshahara wake anakwenda kukopa hivyo kulimbikiza madeni!!! Wataalam wanamuita baba wa namna hiyo kuwa hana FINANCIAL ITERGRITY!!! Kama nchi vile vile Tanzania haina FINANCIAL INTERGRITY kama inavyoonekana katika mapato na matumizi ya serikali pamoja na ukuaji wa DENI LA TAIFA!!! Yote haya yanachangia mateso ya umasikini unaowakumba wananchi.
Ukiandika Kiswahili kuna ubaya gani? Hueleweki!
 
Ukiandika Kiswahili kuna ubaya gani? Hueleweki!
Kama huelewi ni wewe wenye akili wameelewa!!! Si ulikimbia umande wa umasaini ,sasa huo ndio mshahara wake!!
 
Mambo yanaenda hayaendi.

Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.

Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu hadi chini, tukumbuke tatizo la Afrika ni watu na si rasilimali.

Najua wapo wazembe ila wengi Wana uzoefu, wapo wenye uwezo lakini nafsi zetu wateuaji haziwataki.....ajira post Ni chache. Tusubirie Tuone utumbuaji utapeleka Nani

Aaanze na Wizara ya maji kwenye mamlaka za maji kumeoza kabisa, miradi ya maji ya tangu Baba wa Taifa hadi leo inasuasua
 
Mambo yanaenda hayaendi.

Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.

Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu hadi chini, tukumbuke tatizo la Afrika ni watu na si rasilimali.

Najua wapo wazembe ila wengi Wana uzoefu, wapo wenye uwezo lakini nafsi zetu wateuaji haziwataki.....ajira post Ni chache. Tusubirie Tuone utumbuaji utapeleka Nani
Tumbua tumbua haiwezi kwisha maana kuna ule msururu mrefu wa wale watia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge - wooote hao lazima kila mmoja atalambishwa kakeki hata kadogo japo kwa miezi 2 au 3 ili kuondoa lawama!
 
Mambo yanaenda hayaendi.

Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.

Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu hadi chini, tukumbuke tatizo la Afrika ni watu na si rasilimali.

Najua wapo wazembe ila wengi Wana uzoefu, wapo wenye uwezo lakini nafsi zetu wateuaji haziwataki.....ajira post Ni chache. Tusubirie Tuone utumbuaji utapeleka Nani
Yupo wapi mzee wa live. Akizindua miradi aliyoita ya kwake. Yuko wapi nyingne ngonjera tyuu
 
Hakuna jipya .......nyimbo zimeisha sasa imebakia mapambio na kujipendekeza hakuna jipya .....!! Safari ndefu sana na ngumu
 
Mkuu tangu umeandika uzi huu January na leo ni machi iyo pangua pangua mbona haipo ?
 
Hakuna kasi yoyote ile zaidi ya ushahidi kila kona kwamba hii Serikali haramu imeshindwa kazi na hawana jipya zaidi ya uongo uongo tu na kujibaraguza. Ndiyo ni Serikali haramu kwa sababu Watanzania hatukuipa ridhaa zetu bali WALIPORA ushindi.

Madai ya aina hii hayashangazi kwa sababu ndiyo utamaduni wa narcissists. Hata Trump na wafuasi wake zaidi ya 70 million walidai na wanaendelea kudai kuwa wamepokwa ushindi wao!
 
Back
Top Bottom