Hiki ndicho CCM Genge wamewaaaminisha CCM Matumaini ili wasikate tamaa kusifia ...utasikia kijana kabisa anakuambia .." ...mpogolo au ;comarade pole pole kaniambia majina yetu tayati yako mezani kwa mkuu akitoka hospitali tu ....anatangaza mabadiliko makubwa nitakuwako bro "
Sasa jiulize hao ma DED wenye viburi mitaani sio wale waliomsaidia mkubwa kupora uchaguzi na kina Mahera ....unadhani atawaondoa hivi hivi kweli na namna walivyovimba na siri wanajua wao..
MAKUNDI NDANI YA CCM 2021
CCM Genge
CCM Matumaini [mataga wanaosubiri vyeo; hawa wengi wameaminishwa kuwa majina yao yako mezani kwa Magu kwa ajili ya u DC,DED na DAS basi wanapigana kweli ionekane wanawatetea Genge ]
CCM MASLAHI [ wale wahamiaji kina Mwita Waitara , Dr Mollel ni chawa kuliko chawa wenyewe ]
CCM ASILIA [ Ni wale Yatima , ambao walipigana kufa na kupona 2015 lakini leo wako wako tu , hata karata Pale Lumumba hawana uwezo wa kwenda kucheza ]
CCM DOLA [ Hawa ni wale watumishi wa usalama na serikali ambao wameamua kuwasaidia CCMGenge kutawala wakishirikiana na "usalama wa kufikirika" kama yule mkuu wa wilaya wa hai ....hawapo kwenye mfumo rasmi wala hawajawahi kufanya mafunzo popote lakini wako kwenye payrol ya genge ...wana nguvu kweli hadi wanaogopwa na wabobezi }