Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ubabaishaji ndio sera yao kwa sasa!Hakuna kasi yoyote ile zaidi ya ushahidi kila kona kwamba hii Serikali haramu imeshindwa kazi na hawana jipya zaidi ya uongo uongo tu na kujibaraguza. Ndiyo ni Serikali haramu kwa sababu Watanzania hatukuipa ridhaa zetu bali WALIPORA ushindi.
Ubabaishaji ndio sera yao kwa sasa!
Hakuna kasi yoyote ile zaidi ya ushahidi kila kona kwamba hii Serikali haramu imeshindwa kazi na hawana jipya zaidi ya uongo uongo tu na kujibaraguza. Ndiyo ni Serikali haramu kwa sababu Watanzania hatukuipa ridhaa zetu bali WALIPORA ushindi.
Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata Ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu hadi chini, tukumbuke tatizo la Africa ni watu na si rasilimali.
Najua wapo wazembe ila wengi Wana uzoefu,wapo wenye uwezo lakini nafsi zetu wateuaji haziwataki.....ajira post Ni chache. Tusubirie Toene utumbuaji utapeleka Nani
Kabisa Mkuu wakati uchumi unazidi kuanguka na maisha yakizidi kuwa magumu.
Hii serikali ya Jiwe ni sawa na baba mlevi anayetumia mshahara wake wote kulewa huku familia yake inakufa na njaa; juu ya hayo baada ya kufuja mshahara wake anakwenda kukopa hivyo kulimbikiza madeni!!! Wataalam wanamuita baba wa namna hiyo kuwa hana FINANCIAL ITERGRITY!!! Kama nchi vile vile Tanzania haina FINANCIAL INTERGRITY kama inavyoonekana katika mapato na matumizi ya serikali na jinsi watu wake wanavyoteseka na umaskini!!!
Uyo anaepangua wenzake nae alipaaswa kupaanguliwa
Issue ya kununua ndege kwa cash, bila budget, bila open tender, bila ukaguzi wa mahesabu, watu watakuwa wamepigwa parefu hapo.Hii serikali ya Jiwe ni sawa na baba mlevi anayetumia mshahara wake wote kulewa huku familia yake inakufa na njaa; juu ya hayo baada ya kufuja mshahara wake anakwenda kukopa hivyo kulimbikiza madeni!!! Wataalam wanamuita baba wa namna hiyo kuwa hana FINANCIAL ITERGRITY!!! Kama nchi vile vile Tanzania haina FINANCIAL INTERGRITY kama inavyoonekana katika mapato na matumizi ya serikali pamoja na ukuaji wa DENI LA TAIFA!!! Yote haya yanachangia mateso ya umasikini unaowakumba wananchi.
Nilisha tabiri kwenye yatakayo tokea 2021.Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata Ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu hadi chini, tukumbuke tatizo la Africa ni watu na si rasilimali.
Najua wapo wazembe ila wengi Wana uzoefu,wapo wenye uwezo lakini nafsi zetu wateuaji haziwataki.....ajira post Ni chache. Tusubirie Toene utumbuaji utapeleka Nani