Tetesi: Pangua pangua serikalini yaja, JIANDAENI Kisaikolojia

👊👊
 
Unatumia miezi miwili "kutafuta" viongozi halafu wanakaa mwezi mmoja unaona "hawafai"

Sijui nani hafai hapo sasa.
 
Ukiandika Kiswahili kuna ubaya gani? Hueleweki!
 
Ukiandika Kiswahili kuna ubaya gani? Hueleweki!
Kama huelewi ni wewe wenye akili wameelewa!!! Si ulikimbia umande wa umasaini ,sasa huo ndio mshahara wake!!
 


Aaanze na Wizara ya maji kwenye mamlaka za maji kumeoza kabisa, miradi ya maji ya tangu Baba wa Taifa hadi leo inasuasua
 
Tumbua tumbua haiwezi kwisha maana kuna ule msururu mrefu wa wale watia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge - wooote hao lazima kila mmoja atalambishwa kakeki hata kadogo japo kwa miezi 2 au 3 ili kuondoa lawama!
 
Yupo wapi mzee wa live. Akizindua miradi aliyoita ya kwake. Yuko wapi nyingne ngonjera tyuu
 
Hakuna jipya .......nyimbo zimeisha sasa imebakia mapambio na kujipendekeza hakuna jipya .....!! Safari ndefu sana na ngumu
 
Mkuu tangu umeandika uzi huu January na leo ni machi iyo pangua pangua mbona haipo ?
 
Hakuna kasi yoyote ile zaidi ya ushahidi kila kona kwamba hii Serikali haramu imeshindwa kazi na hawana jipya zaidi ya uongo uongo tu na kujibaraguza. Ndiyo ni Serikali haramu kwa sababu Watanzania hatukuipa ridhaa zetu bali WALIPORA ushindi.

Madai ya aina hii hayashangazi kwa sababu ndiyo utamaduni wa narcissists. Hata Trump na wafuasi wake zaidi ya 70 million walidai na wanaendelea kudai kuwa wamepokwa ushindi wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…