Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

Hakuna palmed move Hapo,watu kumpa mtu salam za kwaheri nako ni kosa kama sio kipanic na hasira ni Nini?
Hajapanic master, wahusika wamevunja protocol, you simply dont do walicho kifanya
Na wanajua taratib zikoje
 
Hali ngumu ya maisha ya wananchi wake, huku washauri wake wakizidi kumpoteza juu ya usimamiaji wa rasilimali za taifa ambazo zingeweza kupunguza ukali wa maisha kwa mtanzania mmojammoja.
 
🙄🙄 kumbe mpo mnaommiss mzilikande!? 😂 😆,mtaishia kutuita majina mabaya kama vyeti feki na mafisadi 😂😂,he was used to be a real saddist but now he is no more,fungueni ukurasa mpya
Simple. Viatu VINAPWAYA!
Hata atandaze mikeka milioni!
Hawezi wasimamia hao wateule. RIP MAGU...
 
4
 
She is a Woman.
 
Nani anataka kulipa bill za maji, umeme, usafi, nauli, kodi kwenye mshahara? muulize Ndugai, ukitaka kujua rangi ya maza wewe tamka neno kiti cha Rais, ukiwa Rais kwa nchi ya kijinga kama hii unakuwa ni zaidi ya Mungu, unasifiwa mpk na nzi brother
 
 
Simple. Viatu VINAPWAYA!
Hata atandaze mikeka milioni!
Hawezi wasimamia hao wateule. RIP MAGU...

..hata Magu alipanic ndio maana ukatili ulishamiri dhidi ya wafuasi wa upinzani.
 


Nani kakwambia Mh. Rais kapanic? Kwanini unatoa matusi mepesi mepesi kwa kiongozi Mkuu wa nchi?
 
Ngoja Mama awanyooshe
 
Hajapanic
 
Hakuna palmed move Hapo,watu kumpa mtu salam za kwaheri nako ni kosa kama sio kipanic na hasira ni Nini?
Na Wizara ya Ardhi wakamkaribisha Ndejembi kabla ya kuapishwa

Ukweli haya mambo mawili ni kuyachunguza kwa ukaribu

Kuna kitu kipo chini chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…