Panjishri Valley, eneo linalowatoa jasho Taliban

Panjishri Valley, eneo linalowatoa jasho Taliban

msimamia kucha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
683
Reaction score
551
Habari wadau,

Ni siku yapili Leo Taliban wanajaribu kuingia kwenye eneo ambalo ndio jumbo pekee ambali hawajafanikiwa kulimiliki hili ila wanakutana na kipondo toka kwa hawa jamaa wenye asili ya Tajikistan.

Miaka yote wamekuwa wakipata taabu sana eneo hili, hawa wa panjshri wanawasubiri wakikaribia Taliban wanapigwa Ambush tokea milimani.
 
Hawa ni makamanda wa ngazi za juu wa hilo kundi wameuwawa katika mapigano yalioanza juzi inasemekan kiongozi wao amekimbilia tajkistan
img_2_1630692628438.jpg
img_1_1630692616368.jpg
img_3_1630692671402.jpg
 
Mkuu ngoma ngumu, kwa habari za sasa Taliban walijaribu kuingia wamekutana na kipigo hasa watu wao 350 wamedondoswa wameweza kukimbia na miili 40 tu ya wenzao, tusubiri tuone..
Panjshri ina districts 7, nne tayari zipo chini ya Taliban. Saa 1 iliyopita Taliban wameshatangaza kwa hatua waliyofikia tayari mapema tu inakuwa mikononi mwao.
 
Ukingia kwenye ilo eneo basi kurudi salama shukuru Mungu.ni eneo hatari sana,Warusi walijaribu kutaka kulikamata ila mwisho wa siku wakanyosha mikono juu

Sent using Jamii Forums mobile app
... hata Taliban wenyewe walipata shida sana kuingia Panjshir miaka ya '90 ambayo naweza kusema ilikuwa season 1, hii ni season 2

Lakini nguvu ya Taliban kwa sasa ni kubwa mno! Waliteka silaha nyingi mno na nzito sana kuzidi za NRF. Ahmad Massoud na Amrullah Saleh watakata pumzi muda si mrefu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom