Panjishri Valley, eneo linalowatoa jasho Taliban

Panjishri Valley, eneo linalowatoa jasho Taliban

Someni hiyo, kwa Uchache mtajua hao Raia ni watu wa Aina Gani...

Unaleta link za BBC hapa[emoji23][emoji23][emoji23] watu ambao wanapingana hata na jeshi Lao lukiwaambia kwamba hile vita hawaiwezi

Western media is [emoji706] si BBC, sky news, CNN, DW. Ukiangalia repoti zao zote ni biased. Wamekalia women's rights to kulia lia. .....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Someni hiyo, kwa Uchache mtajua hao Raia ni watu wa Aina Gani...



Taleban ya mwaka 2001 sio ya leo

Taleban ya leo imejaa maelfu ya wapiganaji wenye uzoefu na vita vya milimani na mabondeni kama ambavyo Afghanistan yote ilivyo

Huwezi kulinganisha na majeshi ya kisovieti ambayo lazima ilikuwa wa"avoid" losses za kuuawa na askari tofauti na Taleban ambao wanapigana hadi kufa
 
Kwa mujibu wa hii taarifa ya habari ya chombo cha habari kinachomilikiwa na serikali ya China ni kuwa Taleban wameshaingia ndani sana ya hilo bonde na imethibitika kuwa Taliban walishafanikiwa kupenya hadi katikati ya hilo Bonde kwa hiyo hamna faida ya kusema kiwa bonde lina ulinzi wa asili

 
Main leader hayupo hapo, kwanza ni Kijana tu, juzi nilikua nasoma Historia yao, walijiandaa haswa....
main leader anaomba poo

 
Back
Top Bottom