msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Nani anawachonganisha hapa kiongozi kama si utahira wa wanywa damu wa Pakistani?Wanachonganishwa kisha wanakubali halafu wanapigana na kujenga uchumi wa wengine
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Mkuu ngoma ngumu, kwa habari za sasa Taliban walijaribu kuingia wamekutana na kipigo hasa watu wao 350 wamedondoswa wameweza kukimbia na miili 40 tu ya wenzao, tusubiri tuone..Hawa ni makamanda wa ngazi za juu wa hilo kundi wameuwawa katika mapigano yalioanza juzi inasemekan kiongozi wao amekimbilia tajkistanView attachment 1922839View attachment 1922838View attachment 1922837
Mkuu ngoma ngumu, kwa habari za sasa Taliban walijaribu kuingia wamekutana na kipigo hasa watu wao 350 wamedondoswa wameweza kukimbia na miili 40 tu ya wenzao, tusubiri tuone..
Panjshri ina districts 7, nne tayari zipo chini ya Taliban. Saa 1 iliyopita Taliban wameshatangaza kwa hatua waliyofikia tayari mapema tu inakuwa mikononi mwao.Mkuu ngoma ngumu, kwa habari za sasa Taliban walijaribu kuingia wamekutana na kipigo hasa watu wao 350 wamedondoswa wameweza kukimbia na miili 40 tu ya wenzao, tusubiri tuone..
Utashangaa Hadi hapa anataka awasingizie wamarekaniNani anawachonganisha hapa kiongozi kama si utahira wa wanywa damu wa Pakistani?
... hata Taliban wenyewe walipata shida sana kuingia Panjshir miaka ya '90 ambayo naweza kusema ilikuwa season 1, hii ni season 2Ukingia kwenye ilo eneo basi kurudi salama shukuru Mungu.ni eneo hatari sana,Warusi walijaribu kutaka kulikamata ila mwisho wa siku wakanyosha mikono juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Taliban ni takataka kabisa, ndo Tawala za Lucifa hizo,Wanachonganishwa kisha wanakubali halafu wanapigana na kujenga uchumi wa wengine
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app