Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Taleban wamepata kipigo kikali,wamekimbia huku wapiganaji wao 1000 wakiwa wametekwaTaleban wameshakamata wilaya nne za Panjshir mpaka sasa
Wamebakiza wilaya tatu tu kuiteka Panjshir yote
Taleban wamepata kipigo kikali,wamekimbia huku wapiganaji wao 1000 wakiwa wametekwa
Taleban wamepata kipigo kikali,wamekimbia huku wapiganaji wao 1000 wakiwa wametekwa
Duh!!! Hao jamaa ni balaaa kumbe watalebani wamepata kibano kikali huko
Mmarekani mjanja sanaWanachonganishwa kisha wanakubali halafu wanapigana na kujenga uchumi wa wengine
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Hii ngoma mmarekan hakosi hapoUtashangaa Hadi hapa anataka awasingizie wamarekani
Safi hao jamaa lazima wailudishe mkononi hiyo nchi.#BREAKING : Over 600 Talibani Terrorists including 107 Pakistani national k¡lled in fresh clashes with NorthernAllianceForces in the last 12 hours. 1 Pakistani drone searching for safe way for terrorists also shot down by the #NorthernAllianceForces .View attachment 1925239View attachment 1925242View attachment 1925243View attachment 1925244
Skia mrusi mwenyewe alichemka hao ndo future ya afganistanMtakaa sana hapa to porojo zenu. ..eti ohh wanapigwa. ....eti sijui nini. ....mamarekani mwenyewe kafumuliwa. Sembuse hao waoga wachache. ....yani hata 1000 hawafiki. Wanataka visa za ulaya tu
Ona wanavyokufa sasa. ( tumieni Google translate kielewa post )
Main leader hayupo hapo, kwanza ni Kijana tu, juzi nilikua nasoma Historia yao, walijiandaa haswa....View attachment 1922989kiongozi wa hilo kundi huyo hapo.hapo ni baada ya kufijika tajikistan muda mfupi uliopita
Kwa Habari za kwenye kahawa ni lazima marekan anahuskaHii ngoma mmarekan hakosi hapo