Canada,USA na Australia mbona ni mabara kabisa lakini yanapitwa na vinchi mji kama Luxembourg, Singapore na nchi ndogo kama Switzerland?!!Ok, sasa hiyo GDP (Per Capita) ya Russia ni dola ngapi.
Kama unahisi kua namakoloni ndio utajiri pole sana MKUU kwani RUSSIA alikua namakoloni wapi ?!Hizo ni propaganda za walioshindwa. Marekani amemdhulumu nani, hakuwahi kuwa na makoloni kama ilivyokuwa kwa mataifa mengine ya Ulaya.
Marekani wametoka mbali sana kuja kufika walipo leo, ni mikakati bora, sera nzuri, kufanya kazi kwa bidii na kuacha fikra huru zitawale ndizo zimekuwa nguzo za taifa hilo kuibuka na kuwa kinara wa mambo mengi duniani.
Kwa kuwa wamedumisha hizo tunu wataendelea kuwa kinara kwa karne nyingi zijazo. Ni kawaida kwa watu waliofeli kimaisha kuwaona wenzao waliofaulu kama wezi au Freemasons.
Hofu yao ni kwa NATO. Majamaa yamejikusanya zaidi ya 27 ili tu kuishinda UrusiKwanini Urusi inajihami sana? Ina hofu ya nini?
ViwandaNyie kipaombele chenu ni kipi ambacho mmewazidi.
Unaiongea Russia wakati Russia sio matajiri. Pili, tupe ushahidi wa jinsi Marekani walivyoiba mafuta kwenye hizo nchi.Kama unahisi kua namakoloni ndio utajiri pole sana MKUU kwani RUSSIA alikua namakoloni wapi ?!
Au unataka kutuaminisha kwamba hao kina UK nashost zake wamefika hapo walipo kwaajili yaukoloni ?!
Wizi wa US upo wazi kabisa japokua hili sio lengo lamada kwahio tuliache lipite ila wameiba sana wameiba Mafuta IRAQ wameiba LIBYA nahawajaishia huko AFRIKA mpakaleo kunaibwa huko nyie shangaeni tu mtakuja kushangaa mnaibwa mpaka nyie wenyewe....
Wamepitwaje..!!Canada,USA na Australia mbona ni mabara kabisa lakini yanapitwa na vinchi mji kama Luxembourg, Singapore na nchi ndogo kama Switzerland?!!
Nijibu hapo kwanza tuendelee na mjadala
Wamepitwa per capita gdpWamepitwaje..!!
Akikutag nitumie kwenye wassuppakikujibu nitag
Kuhakikisha CCM inatawala milele hata Kama bilaafanikio ya kiuchumi,hata Kama ikiwekewa vikwazo.Nyie kipaombele chenu ni kipi ambacho mmewazidi.
Angalia population ya nchi zote hizo.Wamepitwa per capita gdp
Hebu walegeze ulinzi kidogo tu uone Yankees na NATO Kama hawajaingia Moscow saa mbili asubuhi.Kwanini Urusi inajihami sana? Ina hofu ya nini?
Kaka sio natetea tu Urusi,Urusi ilikua Bora Sana kiuchumi enzi za USSR,ikavurugika ikavunjikavunjika,zikatoka nchi nyingine mpya kabisa na Zina uchumi wao,Estonia,Latvia,Georgia,Lithuania,Khazakistan,Tajikistan,Azebaija ,Moldova,Ukraine,Uzebakista n,Berarusi n.k.Uko sahihi mkuu, Urusi inatakiwa iwe inachuana na Marekani kwenye kila nyanja muhimu ikiwemo kiuchumi ili kuweka mizani sawa,asiwepo mwenye nguvu mmoja.
Ila cha ajabu wamepokonywa hiyo nafasi na China, ila kwenye kutumia rasilimali zao vizuri wamejitahidi sana maana wamezua sana gesi huko Ulaya magharibi na imewatajirisha sana.
Hata Mimi nimekshangaa Mkuu Proved na nimejaribu kumkumbusha na kumweleza kiufupi.Kwenye hii mijadala umekuwepo kwa muda kiasi usichokifahamu ni kipi? Hufahamu kwa nini China imekuwa juu? Kweli? Au unachokoza mjadala? Hata kama kuchokoza mjadala kwako itakuwa haujawatendea watu haki, hatua uliyofikia ni ya kutoa darasa.
wewe mwenyewe unaonekana ndio mchawi, kwanza unaonekana huelewa wako ni finyu katika siasa na mambo ya kiuchumi ya dunia ndio mahana unadhani maendeleo ya USA yamepatikana eti kisa wanajituma na kufanya kazi kwa bidii.Unaiongea Russia wakati Russia sio matajiri. Pili, tupe ushahidi wa jinsi Marekani walivyoiba mafuta kwenye hizo nchi.
Tatizo lenu ni kuwa na roho ya kichawi, watu hawawezi kulingana lazima watu watofautiane kiuwezo nk.
Nyie ndio mkiona mwingine anafaulu mnaanza kudai, ooh kaiba, mara ni freemason. Badala ya kupigana na nyie muwe kama yeye mnabakia umbeya tu na hichi ndicho kinachangia Afrika kuwa hivi.
Angalia population ya nchi zote hizo.
Wewe taifa lenu kipaumbele chenu cha maana ni kipi ..?kawaida yao hawa kipaumbele chao ni silaha tu
Duuhh ...wananchi wa urusi ni wazalendo sanaMatayarisho yangali yakiendelea kuelekea sikukuu ya kitaifa ya Siku ya Ushindi.
Maadhimisho haya yalikuwa yafanyike tarehe yake mahususi Mei 9 lakini kutokana na janga la virusi vya corona yakasogezwa mbele hadi Juni 24.
Maambukizi ya virusi vya corona bado ni changamoto kubwa hasa kuelekea sikukuu hii ya kitaifa.
Mitaa mbalimbali ya jiji la Moscow imekuwa ikisheheni foleni za hapa na pale hususani kuelekea Red Square ambapo zana mbalimbali vikiwemo vifaru na magari ya kijeshi yamekuwa yakikatika barabarani.
View attachment 1484221
View attachment 1484224
View attachment 1484225
Wewe taifa lenu kipaumbele chenu cha maana ni kipi ..?
Naona unakula matapishi yako mwenyewe sasaUnaiongea Russia wakati Russia sio matajiri. Pili, tupe ushahidi wa jinsi Marekani walivyoiba mafuta kwenye hizo nchi.
Tatizo lenu ni kuwa na roho ya kichawi, watu hawawezi kulingana lazima watu watofautiane kiuwezo nk.
Nyie ndio mkiona mwingine anafaulu mnaanza kudai, ooh kaiba, mara ni freemason. Badala ya kupigana na nyie muwe kama yeye mnabakia umbeya tu na hichi ndicho kinachangia Afrika kuwa hivi.
Kwani alipo kuwa USA Leo Russia haijawahi kufika ? Ulitaka Russia aendelee kubaki kuwa super power milele ?? Ina maana kama ulitaka iwe hivyo una maanisha kwamba duniani hakuna watu wengine wenye akili na wenye kiu ya kuwa na madaraka Kama waliyo kuwa nayo Russia hapo awali .... Una anza vipi kuidharau Russia wakati ni taifa ambalo limewahi kuitawala dunia ... Ni taifa ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa kuifanya dunia iwe na haya maendeleo tulliyo nayo hii LeoHizo ni propaganda za walioshindwa. Marekani amemdhulumu nani, hakuwahi kuwa na makoloni kama ilivyokuwa kwa mataifa mengine ya Ulaya.
Marekani wametoka mbali sana kuja kufika walipo leo, ni mikakati bora, sera nzuri, kufanya kazi kwa bidii na kuacha fikra huru zitawale ndizo zimekuwa nguzo za taifa hilo kuibuka na kuwa kinara wa mambo mengi duniani.
Kwa kuwa wamedumisha hizo tunu wataendelea kuwa kinara kwa karne nyingi zijazo. Ni kawaida kwa watu waliofeli kimaisha kuwaona wenzao waliofaulu kama wezi au Freemasons.