Matayarisho yangali yakiendelea kuelekea sikukuu ya kitaifa ya Siku ya Ushindi.
Maadhimisho haya yalikuwa yafanyike tarehe yake mahususi Mei 9 lakini kutokana na janga la virusi vya corona yakasogezwa mbele hadi Juni 24.
Maambukizi ya virusi vya corona bado ni changamoto kubwa hasa kuelekea sikukuu hii ya kitaifa.
Mitaa mbalimbali ya jiji la Moscow imekuwa ikisheheni foleni za hapa na pale hususani kuelekea Red Square ambapo zana mbalimbali vikiwemo vifaru na magari ya kijeshi yamekuwa yakikatika barabarani.
View attachment 1484221
View attachment 1484224
View attachment 1484225