Pantsir-SM | Mfumo mpya wa ulinzi wa anga kuzinduliwa nchini Urusi

Russia nitaenda one day
 
...kwani China inaogozwa kwa itikadi gani za siasa, imekuwaje tena itikadi mnazo zichukulia ni za kishenzi zimewezeshaje China kushika nafasi ya pili kiuchumi Duniani na soon itaipuku USA?
Mkuu hii China ya Sasa sio ile ya kina Mao Tsetung ya 'early 60's na 7o's'.

Hii China ilifanya mageuzi makubwa ya kiuchumi mwanzoni mwa miaka ya 80 kupitia kiongozi wao maarufu Deng Xionping ambapo baadhi ya nadharia za kiuchumi za kiliberali ziliruhusiwa ili kuinua uchumi wa nchi na wananchi.

Kumbuka ule usemi maarufu wa Deng "siangalii sura ya paka muhimu paka aweze kukamata panya" alimaanisha hajali kuhusu ubaya wa ubepari muhimu atanufaika nao.

Hata huko China kwa sasa makampuni mengi yaliyowekeza huko ni kutoka Marekani, Japan, Ujerumani na nchi zingine za Ulaya kwa sababu ya kuwepo kwa soko lao kubwa na nguvu kazi kubwa yenye gharamu nafuu japo ina ujuzi mkubwa (highly skilled labor but cheap).

Hayo mambo ya kikomunisti yamebaki kwenye siasa tu za ndani ila uchumi unaendeshwa kibepari ndio maana kuna matajiri wengi sana China ikiwemo baadhi ya viongozi wa kikomunisti (kumbuka utajiri ni haramu kwenye ukomunisti).
 
Kutumia Rocket Engines za Russia ni swala dogo sana na miaka michache ijayo hawatazitumia tena.
 
Kutumia Rocket Engines za Russia ni swala dogo sana na miaka michache ijayo hawatazitumia tena.
Suala dogo ?!

Unajua space X wanavyohangaika kujikomboa katika huo utumwa mzee ?!

Acha utani basi ...
 
Mie napingana nao kwa kweli. Kama ni maadui mbona tunapeleka bakuli letu kuomba kwao mara kwa mara?
Viongozi wa Afrika wengi nahao wanaowaita Mabepari wanaunafiq wakutosha kiukweli.....
 
Suala dogo ?!

Unajua space X wanavyohangaika kujikomboa katika huo utumwa mzee ?!

Acha utani basi ...

Sio kweli. Mwisho 2022.

Muda ni msema kweli
Muda umesema. Tayari wameshaachana na rocket engines za Mrusi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…