Panya ana ajira, Kijana hana — na anasafiri kwa ndege!

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Jamani jamani… dunia hii kweli ni kitendawili kigumu!

Leo tena nimerudi na habari mpya — panya mmoja anaitwa Ronin, si tu ana ajira ya kudumu ya kutegua mabomu, bali tayari ameshapanda ndege, amesafirishwa kwa heshima mpaka Cambodia!

Wewe kijana, umesoma mpaka ukakariri chati za periodic table, umefaulu mpaka ukaaminika kuwa tegemeo la familia,

lakini passport huna, na hata ndege ya Fastjet hujawahi igusa!

Lakini Ronin — panya wa kawaida mwenye mashavu makubwa — amepakiwa vizuri kwenye crate ya heshima,
akapanda ndege kimya kimya, akaenda kutumikia taifa la mbali!

Alifika kule anakaribishwa kwa mikono miwili, ana mafunzo ya kipekee, ana chakula maalum — na kazi yake? Kutegua mabomu kwa harufu tu.

Hebu tujiulize kwa uchungu mchanganyiko wa mshangaa

Ronin hajui hata kusoma "boarding pass" — lakini yuko Cambodia kwa ajira maalum.

Wewe CV yako imepigwa pini ya mshono, ila bado inalala kwenye email ya HR.

Ronin hana CV, hana referee, lakini ana kazi yenye heshima na exposure ya kimataifa.

Tunafeli wapi sasa?

Je, ni wakati wa:

Kujifunza kugundua mabomu kwa harufu?

Au kuanzisha harakati mpya: "Kampeni ya Vijana Kupata Ajira Kabla ya Panya"?

Mimi nauliza tu kwa niaba ya vijana wote wa taifa hili…

Ama kweli, duniani kuna mambo — na mengine yanapaswa kupigiwa magoti.

Uzi huu ni satire Wala Hauna maana iliyokusudiwa.
 
Kiongozi huyo panya ana mchango mkubwa sio kwa taifa Bali kwa Dunia

Kazi yake ni kutegua mabomu siyo viazi,

Sawa tuna shida ya ajira ila kazi ya huyo panya ukienda na cheti chako Cha uchumi yatazikwa majivu badala ya mwili wako.....tuheshimu kaz yake
 
Niliwahi kwenda kwenye hiyo taasisi ya APOPO na kupata wasaha wa kutazama mafunzo yao kadhaa. Asije kukudanganya ntu, hawa panya wanakufa balaa, kipindi tu cha Panya Magawa kulikuwa na failure zaidi ya panya 20 waliolipuka! Ni moja ya shughuli risky sana, ndo maana wanapewa na medali kama HeroRATS.
 
Niliwahi kwenda kwenye hiyo taasisi na kupata wasaha wa kutazama mafunzo yao kadhaa. Asije kukudanganya ntu, hawa panya wanakufa balaa, kipindi tu cha Panya Magawa kulikuwa na failure zaidi ya panya 20 waliolipuka! Ni moja ya shughuli risky sana, ndo maana wanapewa na medali.
Mwenyewe nashangaa..anajua mziki w kutegua mabomu
 
Jamani jamani… dunia hii kweli ni kitendawili kigumu!

Leo tena nimerudi na habari mpya — panya mmoja anaitwa Ronin, si tu ana ajira ya kudumu ya kutegua mabomu, bali tayari ameshapanda ndege, amesafirishwa kwa heshima mpaka Cambodia!

Wewe kijana, umesoma mpaka ukakariri chati za periodic table, umefaulu mpaka ukaaminika kuwa tegemeo la familia,

lakini passport huna, na hata ndege ya Fastjet hujawahi igusa!

Lakini Ronin — panya wa kawaida mwenye mashavu makubwa — amepakiwa vizuri kwenye crate ya heshima,
akapanda ndege kimya kimya, akaenda kutumikia taifa la mbali!

Alifika kule anakaribishwa kwa mikono miwili, ana mafunzo ya kipekee, ana chakula maalum — na kazi yake? Kutegua mabomu kwa harufu tu.

Hebu tujiulize kwa uchungu mchanganyiko wa mshangaa

Ronin hajui hata kusoma "boarding pass" — lakini yuko Cambodia kwa ajira maalum.

Wewe CV yako imepigwa pini ya mshono, ila bado inalala kwenye email ya HR.

Ronin hana CV, hana referee, lakini ana kazi yenye heshima na exposure ya kimataifa.

Tunafeli wapi sasa?

Je, ni wakati wa:

Kujifunza kugundua mabomu kwa harufu?

Au kuanzisha harakati mpya: "Kampeni ya Vijana Kupata Ajira Kabla ya Panya"?

Mimi nauliza tu kwa niaba ya vijana wote wa taifa hili…

Ama kweli, duniani kuna mambo — na mengine yanapaswa kupigiwa magoti!
Picha tafadhali
 
Mwenyewe nashangaa..anajua mziki w kutegua mabomu
Kuna kipindi PAWS ambao wanalinda haki ya wanyama waliwazingua sana hao wabelgiji APOPO hususani ni katika procedures zao. Mpaka Dunia imemfahamu Magawa huko nyuma kuna Panya wameshindwa trials
 
Panya huyo hajapitishwa kwenye rungu la pyramidal scheme mkuu, shida iliyopo kwenye muundo ni pyramidal unadrop watu na hauna sabab za maana
 
Jamani jamani… dunia hii kweli ni kitendawili kigumu!

Leo tena nimerudi na habari mpya — panya mmoja anaitwa Ronin, si tu ana ajira ya kudumu ya kutegua mabomu, bali tayari ameshapanda ndege, amesafirishwa kwa heshima mpaka Cambodia!

Wewe kijana, umesoma mpaka ukakariri chati za periodic table, umefaulu mpaka ukaaminika kuwa tegemeo la familia,

lakini passport huna, na hata ndege ya Fastjet hujawahi igusa!

Lakini Ronin — panya wa kawaida mwenye mashavu makubwa — amepakiwa vizuri kwenye crate ya heshima,
akapanda ndege kimya kimya, akaenda kutumikia taifa la mbali!

Alifika kule anakaribishwa kwa mikono miwili, ana mafunzo ya kipekee, ana chakula maalum — na kazi yake? Kutegua mabomu kwa harufu tu.

Hebu tujiulize kwa uchungu mchanganyiko wa mshangaa

Ronin hajui hata kusoma "boarding pass" — lakini yuko Cambodia kwa ajira maalum.

Wewe CV yako imepigwa pini ya mshono, ila bado inalala kwenye email ya HR.

Ronin hana CV, hana referee, lakini ana kazi yenye heshima na exposure ya kimataifa.

Tunafeli wapi sasa?

Je, ni wakati wa:

Kujifunza kugundua mabomu kwa harufu?

Au kuanzisha harakati mpya: "Kampeni ya Vijana Kupata Ajira Kabla ya Panya"?

Mimi nauliza tu kwa niaba ya vijana wote wa taifa hili…

Ama kweli, duniani kuna mambo — na mengine yanapaswa kupigiwa magoti.

Uzi huu ni satire Wala Hauna maana iliyokusudiwa.
Ongeza,

ROBIN HAJAENDA VETA BAADA YA KUHITIMU DIGRII YAKE SUA
 
Vijana wapi wanazungumziwa hapa? Au ni wale wasomi wa mama asemewe! Kama ni hao si tayari wanayo ajira ya kumsemea mama? Ni heshima iliyoje kumsemea rais wa NCHI!
 
Back
Top Bottom