Panya Road Tena

Panya Road Tena

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Hawa jamaa wamerudi tena amekeni amkeni.
Screenshot_20231203_131709_Chrome.jpg

Kukosa ajira na ulinzi dhaifu

Hawa kutakuwa na watu wanafaidika nao. Kuna sehemu moja wamejaribu walichofanyiwa, hawana hamu. Wamepewa Armed Robbery. Non bailable. Kila kesi moja ikikaribia kuisha, wanapewa armed nyingine! Mziki unaanza upya!
 
Wewe ni jitu katili sana,suspect yupo innocent hadi court of law itakapoamua, tatizo la nchi hii ni police state yaani kila mtu ana uwezo wa kujifanya unanijua mimi ni nani?,nitakutia ndani, why uwape kesi za kusingizia??
 
Najua hawajawahi kukutia Nondo ndiyo maana unabwabwaja hapa.
 
Panya road yeyote atakayekutwa ktk field kabeba silaha ya aina yoyote AUWAWE kwa Silaha ya moto na kifo chake kisitangazwe akafukiwe huko kama mbwa.
 
Wewe ni jitu katili sana,suspect yupo innocent hadi court of law itakapoamua, tatizo la nchi hii ni police state yaani kila mtu ana uwezo wa kujifanya unanijua mimi ni nani?,nitakutia ndani, why uwape kesi za kusingizia??
Ngoja siku wamkate mapanga mumeo bi dada
 
Back
Top Bottom