Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Hawa jamaa wamerudi tena amekeni amkeni.
Kukosa ajira na ulinzi dhaifu
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Kukosa ajira na ulinzi dhaifu
Vyombo vya ulinzi mmewashindwa Panya Road?
Halafu hilo eneo ninakumbuka halina Kituo cha Polisi. Eneo lote la Goba Mpakani wanatumia Kituo cha Polisi Makabe ambacho kipo Kata ya Mbezi. Kuna wakati kilikuwa kinajengwa Kituo cha Polisi Goba Mpakani na sijui kama kimeisha. Ila ubinafsi wa watu wa Dar es Salaam kunawafanya wahuni kutamba...
SoC03 - Mpango wa miaka 5 ya kurekebisha vijana - Panya Road
An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii. Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji, Ufundi na Kazi za Amali, Mila, Utamaduni na Uzalendo. Haya Matukio ya Panya Road, yananikumbusha tukio...