Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tukio hili limetokea leo saa 3:usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe, Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu hovyo ndipo wananchi walianza kukimbia huku na kule kuokoa maisha yao.
KILICHONISHANGAZA
Nikiwa kwenye foleni nimeshuhudia Trafiki waliokuwa zamu wakitimka mbio huku wakivua kofia na mashati yao meupe na kubaki na nguo za ndani maarufu kama sing'lendi.
Swali nalojiuliza hawa askari wetu wanashindwa hata kufanya upepelezi wa mwanzo kujua adui yuko upande gani,ana siraha gani na atakabiliana naye vipi.
Za kubrashia viatu wameshatuma mboga home. Labda za mabosiTrafki walicho ogopa ni kuja kuporwa nao walicho chuma kwa madereva dala dala ...hahahaaa
Askari ana anafundishwa jinsi ya kupambana na adui mwenye siraha tatizoaskari wetu wali nazi.
HAO PANYA BUKU WANA NN ? MBONA WANAUME WA DAR (TRAFIK) MNAKIMBIA WATOTO WENU ?Tukio hili limetokea leo saa 3:usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe, Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu hovyo ndipo wananchi walianza kukimbia huku na kule kuokoa maisha yao.
KILICHONISHANGAZA
Nikiwa kwenye foleni nimeshuhudia Trafiki waliokuwa zamu wakitimka mbio huku wakivua kofia na mashati yao meupe na kubaki na nguo za ndani maarufu kama sing'lendi.
Swali nalojiuliza hawa askari wetu wanashindwa hata kufanya upepelezi wa mwanzo kujua adui yuko upande gani,ana siraha gani na atakabiliana naye vipi.
Kwa kweliMh traffic hana silaha yeyote apambane na wajinga wasio na akili wenye mapanga...mbona mnataka tu kutusi askari wetu aisee
Hii ishu inataka kuifight kwa umoja na sio vinginevyo. Ndo maana FFU wako active saana maana huwezi kukuta askari wa FFU anafanya kazi mwenyewe...hapana!Kwa kweli
Hata mie ningekuwa traffic ningetiririka tu
Imagine huna silaha halafu upambane na kundi kubwa la waporaji wenye silaha za jadi za kutosha...as if kuna duka linauza uhai
Ilaa hana hata namba ya simu ya kituo cha polisi awaite wenzie waje wawashuhudie?Hakuna uhai mara mbili
Hapo labda hawana silaha yoyote zaidi ya efd mashine..... wacha watiririke tu.....
***Khaaaa,, hii aibu kweli kama askari wenyewe wanakimbia,,, loooohhh.., raia wa kawaida lazima watakuwa wanang'ang'ania kuingia uvunguni mwa kitanda..
Kwa hiyo wanaume wa dar bado wote wanaogopa panya road...🙁🙁
Makonda yuko busy na clauzmedia...cjui ni muajiriwa kule...maana mi namuona ni mzee wa matukio ya kiki kila sikuJaman mbona aibu kweli vitoto hivi mkuu au mwny wizara hii ameshindwa kuwamudu?