Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

Mkuu hata mikoani wamerudi kwa speed sana. Wanaiba tu wanavyotaka wao. Lakini ukichunguza kwa makini utagundua kuna kausaliti flani kati ya polisi(vijana 22-27yrs) na wakubwa wao. Polisi vijana wanajisahau sana kiasi kwamba raia(vijana) hawaoni cha kuwatishia. Siri nyingi za polisi zinavuja kuliko za Jwtz.
Kwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini???
 
Siri ipi ya polisi iliovuja? Usaliti hapa ni kuachia hali ya uchumi kuwa ngumu kwa kipato cha chini
 
"wanachafua jiji letu " tutawatengea maeneo ya kufanya biashara"
R.I.P JPM
 
Hili swala waende wakapate uzoefu kwa mzee wa kiraracha yy anajua walichofanya na mzee mkapa rip kuwamaliza majambazi hasa waliokuwa. Mby rpc akiwa kova au mwema kama sijakosea na rc alikuwa mramba majambazi wa chunya na kila eneo walikimbia hadi leo jombi hajulikani alipo miaka mid 90's hapo hakuna jambazi aalikuwa anakamatwa anapelekwa eti kituo cha polis
Ningekuwa mm ningefanya silent cleaning kama ya oparesheni tokomeza ya jk mpaka leo majangili wamepungua
 
Jombi hajulikani alipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…