Panya Road wamerudi, tuchukue tahadhari, Polisi Dar wafanya msako wawanasa waliowapiga watu mapanga

Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)

Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu

-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..

Ukabaji Bado Unaendelea ..
Wanaume wa Dar mumeanza tena
 
Eti vitoto vinakuja na vipisi na nondo na tunapanga saa moja jioni vinafunga mtaa vinapora. yafaa mtaa mzima mle fimbo kabisa acheni uzembe, police Wana Kazi nyingi Sana za kufanya.
Kaka wewe panya road au kiboko msheli penda uwasikie tu ukiwa huko kwenu Oysterbay. Sisi wa Kigogo na Mburahati tunaelewa mtu akisema panya road anasema nini
 
Wauweni tena kwa kuwachinja!
Wekeni ulinzi wa kimtaa, mkiwakamata ng'oa meno na kuwakata madole gumba ili hata mkiwaacha wazima wasiweze kusumbua.

Wanaume mnasumbuliwa na wavulana? Nyie washenzi tu! Aghhggghhh[emoji51][emoji51]
 
Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)

Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu

-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..

Ukabaji Bado Unaendelea ..
Polisi wote wamegeuzwa kuwa traffic polisi ili wakajichukulie sijui nani atapambana na hawa Mbwa Mwitu
 
Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)

Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu

-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..

Ukabaji Bado Unaendelea ..
Tutawasemea Kwa Mama ila mama yupo pekeyake
 
Wauweni tena kwa kuwachinja!
Wekeni ulinzi wa kimtaa, mkiwakamata ng'oa meno na kuwakata madole gumba ili hata mkiwaacha wazima wasiweze kusumbua.

Wanaume mnasumbuliwa na wavulana? Nyie washenzi tu! Aghhggghhh[emoji51][emoji51]
Utawachinjaje watu 40&50 wanaotembea kwa pamoja ?
 
Ndo akili za vijana wa kibongo sasa kama mtu unataka kufa kishujaa ni ufe ukiwa unapiga deals kubwakubwa kwa mfano deal la kuvamia bank n.k.... Sasa kweli unaenda kufa kwa kujaribu kuibia mtu simu au kum'baka mwanamke ukicheki wanawake sahivi wapo kibao tena Hadi wa 1000[emoji16][emoji16][emoji16]joke
 
Eti vitoto vinakuja na vipisi na nondo na tunapanga saa moja jioni vinafunga mtaa vinapora. yafaa mtaa mzima mle fimbo kabisa acheni uzembe, police Wana Kazi nyingi Sana za kufanya.
Ni kweli mkuu hawa polisi wetu tutawalaumu bure maana wana kazi nyingi za kuiharibu chadema sasa leo hii mnataka waje kidhibiti paka road
 
Mliambiwa muwe na silaha nyumbani
Huu ndio wakati wa kuzitumia
Unfortunately,wanavamia kwetu Uswahilini,access ya silaha Ndio wengi wamehifadhi marungu,sime na panga ,jinsi Panya Road wanavyoshambulia hawavunji nyumba Ni Yeyote Barbarani watakayekutana naye ,kazi anayo ..pia Unafiki wetu Watanzania au kukosekana kwa Ushirikiano baina yetu Ktk jamii yweza kua moja ya kikwazo kushindwa kushambuliana nao.
 
Back
Top Bottom