Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Kama sungusungu hawatoshi muwalete siafuWapo Sungusungu,Isipokua Idadi ya Sungusungu haiendani na Idadi ya Panya Road..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sungusungu hawatoshi muwalete siafuWapo Sungusungu,Isipokua Idadi ya Sungusungu haiendani na Idadi ya Panya Road..
SawaKama sungusungu hawatoshi muwalete siafu
Polis ndo. wamekufanya muda huu ushike simu yakoPolice sio watu wa kuaminika mkuu
Nashangaa sana wanaume wa dar wanaogopa watotoMtaa mzima mnakimbizwa na vitoto vya miaka 15 na 16 mnashindwa vipi vidhibiti.
Nawapa mbinu.
Nunue speaker zile za betri
Nunueni mishale yenye sumu
Nunueni asidi
Wakija tena hao mende wapigieni yowe kutumia speaker KILA mmoja aandae mshale wake achague mtu wake hakikisheni wote wamelala chini ni kumkosea Mungu kuwaacha hao mende hai.
Ina maana karakata nzima Hakuna hata mwenye bastola wakija unavaa soksi ya ninja unahakikisha mizoga kama 20 ipo chini,waliopona wakawasimulie wenzao na awatorudi tena mbona huku kitunda ujinga huo haupo acheni uzembe karakata mnafunga maduka mtaa mzima Ina maana hata kuwapiga na chupa zenye bia amuwezi? Nyie ndo mnafanya wanaume wa dar tunadharaulika.
Unfortunately,wanavamia kwetu Uswahilini,access ya silaha Ndio wengi wamehifadhi marungu,sime na panga ,jinsi Panya Road wanavyoshambulia hawavunji nyumba Ni Yeyote Barbarani watakayekutana naye ,kazi anayo ..pia Unafiki wetu Watanzania au kukosekana kwa Ushirikiano baina yetu Ktk jamii yweza kua moja ya kikwazo kushindwa kushambuliana nao.
Hiyo idadi uneijuaje mkuu labda tuanzie hapo.Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)
Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu
-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..
Ukabaji Bado Unaendelea ..
Kuna njia mbalimbali Ktk kukadiria Idadi.Hiyo idadi uneijuaje mkuu labda tuanzie hapo.
Inawezekana theoritically ,Ktk Hali halisi bado sijaona wa kupambana nao Ana kwa Ana ..mkiua wote au nusu yao kesho hawawezi kurudi tena na mtalala milango wazi maisha yenu yote kwenye huo mtaa....
Wakati wa JPM hizi habari tulizisahau kabisa,ila alisema MTANIKUMBUKA...Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)
Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu
-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..
Ukabaji Bado Unaendelea ..
Acheni kulia kulia mji organize, mpambane naoKaka wewe panya road au kiboko msheli penda uwasikie tu ukiwa huko kwenu Oysterbay. Sisi wa Kigogo na Mburahati tunaelewa mtu akisema panya road anasema nini
Ubinafsi ndo unawaponza kuona tatizo la mwezio siyo lako. Nakumbuka mwaka 2014 nilikuwa nakaa maeneo ya ubungo Kibo. Kuna panya road walienda kuvamia mahali wakaua, mmoja wakaja kumzika maeneo hayo. Baada ya mazishi wakajiorganize nakuanza kuvamia wapita njia na maduka. Watu wa kaona isiwe taabu tukajipanga kudeal nao. Amini usiamini wanne tuliwavisha matairi.Hawa panya road huwa hawana wazazi? Hawa panya road huwa wanatokea mtaani hapo au huwa wanatokea mikoani? Ninauhakika panya road huwa wanaiba mitaa wanayoishi sasa mnashindwa vipi kudeal nao hao vijana ambao mnawafahamu na wazazi wao pia mnawafahamu? Mnasema eti wanatembea 30,40,50 kwahiyo ninyi mtaa mzima wanaume mpo 20?
Acheni ujinga, kamata hivyo vitoto tia tindikali vyote kisha viachieni vikauguze majeraha na wazazi wao.
Kabla hamja ji organize Wana kua na taarifa zote.Acheni kulia kulia mji organize, mpambane nao
Kitunda kwa wakurya vibaka awasogoei kule unakamatwa wanashika kichwa unatikiswa dakika 5 unaambiwa tumekusamehe nenda kwa amanimkiua wote au nusu yao kesho hawawezi kurudi tena na mtalala milango wazi maisha yenu yote kwenye huo mtaa....
Panya road upatikana mitaa ya wazawa yaani wenyeji wazaliwa wa pale na sio kwa wageni.Uswahilini wanaishi kwa unafiki sababu wanajuana mtoto wa nani ni mwizi wanaogopana kurogana.Hawa panya road huwa hawana wazazi? Hawa panya road huwa wanatokea mtaani hapo au huwa wanatokea mikoani? Ninauhakika panya road huwa wanaiba mitaa wanayoishi sasa mnashindwa vipi kudeal nao hao vijana ambao mnawafahamu na wazazi wao pia mnawafahamu? Mnasema eti wanatembea 30,40,50 kwahiyo ninyi mtaa mzima wanaume mpo 20?
Acheni ujinga, kamata hivyo vitoto tia tindikali vyote kisha viachieni vikauguze majeraha na wazazi wao.
Ni kweli jamii zetu wengi ni wanafiki sana. Wanajua kabisa hawa panya road ni watoto wa nani. Suluhisho ni kuwauwa wite kisha wazazi wazike mizoga ya watoto wao itakuwa fundisho kwa wazazi kuwakemea watoto wao wanapokuwa na tabia hatarishi katika jamiiPanya road upatikana mitaa ya wazawa yaani wenyeji wazaliwa wa pale na sio kwa wageni.Uswahilini wanaishi kwa unafiki sababu wanajuana mtoto wa nani ni mwizi wanaogopana kurogana.
Ni watoto wanaokaa vijiweni kinachotakiwa ni kuwapeleka killing squard watu wasiojulikana wakikutwa vijiweni ni mwendo wa bullets ukiweza wadondosha KILA siku hata watatu Kazi ya kufukia ni ya wazazi wao ndani ya mwezi tu mtaa unakuwa safi hauna mende ndo walichofanya Rwanda.