Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Kama unaishi na mwanamke ambaye haumuamini au una watoto watundu tafadhali sana achana na hizi chemicalNamimi nataka tundikali naipata wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaishi na mwanamke ambaye haumuamini au una watoto watundu tafadhali sana achana na hizi chemicalNamimi nataka tundikali naipata wapi
Silaha yao ni wingi wao.wakimbize hata na chainsaw.👍Ngoja nifanyie kazi huu ushauri mtu anaweza kuona ni kama upuuzi ila ni silaha kubwa mno tena vipanya road vilivyokuwa havina nguvu unavichakaza vyote.
Ukiwa na mke mshali au mke moto usiweke bastola nyumbani badala iiue jambazi itakuua weweKama unaishi na mwanamke ambaye haumuamini au una watoto watundu tafadhali sana achana na hizi chemical
Huo mda wa kuandaa hilo pilau utalipata wapi panya road uzuka tu kama magaidi hawana siku wala saa mida yao huwa ni kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku makutanio yao huwa kwenye viwanja vya mpira ujifanya wanamechi au wanafanya mazoezi.Tengeneza scenario kama baba lishe unatembeza chakula sasa umerudi usiku, au lets say umetoka harusini umefungasha msosi kwenye ndoo kama uswahilini mnavofanyaga. Pita kwenye anga zao ukiwaona weka ndoo chini yenye pilau na nyama kiasi alafu timua mbio, hapo hakuna atakayekukimbiza wale wote wana njaa watakimbilia kugombea msosi.
Hilo pilau uwe umetia SUMU KALI SANA ya kutosha ila isiyo na harufu wala ladha/radha? tena umetia viungo na pilipili kuwapoteza ladha. Wakila baada ya hapo ni kilio na hakuna gari za wagonjwa wala hawana hela kutibiwa haraka. Nusu saa nyingi mnaokota mizoga kama 30 mnafukia
Msosi hauhitaji zaidi ya 40,000. Sumu fanya smuggling
Ubongo unavurugika na damu then unawahi kuzimu haraka.Sawa na adhabu ya kupewa umle nyoka mbichiHii ya kutikishwa niliisikia inatumika kanda ya ziwa kuwapa adhabu wahalifu,sijajua effect zake zikoje kwa anayetikiswa,tupe no mkuu
Duh!Kwa hiyo ndiyo dawa yao?😂😂😂😂😂Wakamateni waphileni
Mmetimiza ahadi?Tutajitahidi Mkuu.
Baada ya kupiga tukio wakasepa hawajarudi,isipokua walihamia Eneo jingine linaitwa Banana Ktk bar inayoitwa Java Lounge ,hapo walikamatwa kamatwa na Askari wetu polisi,kiasi Fulani wapo nadhani Stakishari..Mmetimiza ahadi?
Unfortunately ,Mitaa yetu mingi haijapangiliwa Ktk miundombinu.Mtaa mkiwa na ushirikiano vibaka awaji,pia vibaka uogopa mitaa iliyonyooka means Hakuna chocho,
Huyo aliyeuawa, alithibitika kweli au ndio mob justice?Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)
Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu
-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..
Ukabaji Bado Unaendelea ..
Chemical house.
Location ya hilo duka..Chemical house
Huyu alipigwa na Bodaboda na kuchomwa moto,na mkusanyiko wa wananchi mbalimbali ,sijapata exactly walimpataje huyo mMoja..Huyo aliyeuawa, alithibitika kweli au ndio mob justice?
Siraha tofauti tofauti Kama Mapanga Sime,Bisibisi,Viwembe,vipande vya Nondo pamoja na Visu..Wanatumia siraha gan?
Tusijichukulie sheria mkononi, hiyo ni principle yangu, maana itauma sana kama mtu asie na hatia akafanyiwa unyamaHuyu alipigwa na Bodaboda na kuchomwa moto,na mkusanyiko wa wananchi mbalimbali ,sijapata exactly walimpataje huyo mMoja..
Watoto wanaadabisha wazazi wao kwa kushindwa kuwalea ipasavyo.Wana Jf Wasalaam,
Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road)
Update;
-Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya road aliuliwa na Wananchi na kuchomwa moto
Hata hivyo Askari wetu walijitahidi kufanya Doria maeneo mbalimbali Amani ikarejea na Utulivu
-Leo Hadi hivi Sasa Vijana wapatao 15&26 Wanaendelea na Ukabaji wakiwa Ktk kikundi.Wananchi wanakimbizana Ovyo ,Eneo Ni Karakata Mtaa wa Majukumu..
Ukabaji Bado Unaendelea ..
Hapo umemtukana hadi KingaiWanaume wa dar mnashida gani lakini au wote ni kina delicious
Vijana wa daa ni wa hovyo sana mkuu.watakuja watu kuponda kuwa watu wa Dar wanaogopa panya road [emoji23]