Panya Road wamerudi, tuchukue tahadhari, Polisi Dar wafanya msako wawanasa waliowapiga watu mapanga

Serikali ilegeze masharti ya watu kupata bastola za kujilinda, zama zimebadilika sio matajiri na viongozi tu wanaopata matishio ya usalama na hivyo bastola isiwe privilege kwa makundi hayo tu.
Takwimu zinaonesha waliomilikishwa silaha wengi hazijawasaidia kujilinda zaidi ya kujiuwa au kuwauwa wenza wao.

Hata ya kwangu nimeiondowa nyumbani nimehifadhi sehemu nyingine, kama una umri wa kutosha utaelewa nimeandika nini.
 
Wa kulaumiwa ni waganga wa kienyeji hawa ndio uwapa confidence wezi, majambazi na vibaka watusumbue Mitaa.
Hakuna mwizi,kibaka au jambazi asiye mshirikina Hakuna confidence hio ya kuiba kwa ufahamu wa kawaida.
Hii inaweza kua logic,Kuna jamaa Alikua anajiita John Rambo (Abdul Chata) Bibi yake alikua anajihusisha na Masuala ya Ulozi,Hii ilimpa back up Mwamba ila Ndio hivyo Kifo Cha Nyani mitihani huteleza Akakamatika kazi yake ikaishia hapo
 
Ndio ya wali wenye sumu ndo solution ya kuwamaliza vibaka wa usiku asubui unangojea ripoti ya mizoga
Hii njia italeta Matokeo hasi ,kwakua haijulikani wanakuja lini ,ninyi mnashitukia Watu wapo barbarani,Kwa kikawaida Huo Wali utapikwa muda gani ili kuwalisha panya road!?
 
Vijiweni vya vibaka vinajulikana na mida ya vibaka kuiba inajulikana.Vibaka wakabaji wa mtaani hawa uanza giza tu linapoanza wale kuingia ndani kuiba tv,simu na radio uanza saa nane hadi kabla ya adhana yaa kabla ya saa kumi na moja alfajiri.Mida ya vibaka kufanya Kazi na mida ya wachawi kufanya Kazi huwa ni sawa maana bosi wao ni mmoja anaewaongoza kufanya dhambi hizo yaani wanashare remote control moja.
 
Hii inaweza kua logic,Kuna jamaa Alikua anajiita John Rambo (Abdul Chata) Bibi yake alikua anajihusisha na Masuala ya Ulozi,Hii ilimpa back up Mwamba ila Ndio hivyo Kifo Cha Nyani mitihani huteleza Akakamatika kazi yake ikaishia hapo
Kuna familia moja inatakiwa kwa mizigo juu hio ni noma uzao wa hapo wote wezi kuanzia babu,babu alikuwa mwizi maarufu wa magodown kuna mtoto wao mmoja anaitwa hamisi alikuwa balaa kabla ajakatwa speed mita,baba yake Mdogo alikuwa mwizi hatari walikata speed mita nae
 
Takwimu zinaonesha waliomilikishwa silaha wengi hazijawasaidia kujilinda zaidi ya kujiuwa au kuwauwa wenza wao.

Hata ya kwangu nimeiondowa nyumbani nimehifadhi sehemu nyingine, kama una umri wa kutosha utaelewa nimeandika nini.
Kumiliki silaha uleta ushawishi wa kuitumia.Silaha ni roho ya mauti
 
Previous Day's ,Walivamia baadhi ya Sehemu ya Maeneo Buguruni ,Wakakutana na Sungusungu ,Walizichapa bahati mbaya walizidiwa nguvu ,Sungusungu mMoja alikatwa katwa Mapanga,yupo Mwananyamala akiendelea kutibiwa majeraha yake.
Mishale yenye sumu au chupa za bia KILA raia akikamata awarudi tena,hawa mende wanajua mitaa yenye watu dhaifu.All in all wanatokea uswahilini hawawezi tembea kwa makundi kwenda kushambulia masaki au osterbay watakutana na vyuma tupu kule.
 
wanajua Mitaa ya kujidai,Uswahilini ,Wakiingia hapa wanatoka kule
 
Takwimu zinaonesha waliomilikishwa silaha wengi hazijawasaidia kujilinda zaidi ya kujiuwa au kuwauwa wenza wao.

Hata ya kwangu nimeiondowa nyumbani nimehifadhi sehemu nyingine, kama una umri wa kutosha utaelewa nimeandika nini.
Wengi wanaomilikishwa hizo silaha wanakaa mitaa ya kitajiri yenye usalama masaa 24 sio rahisi wakutane na vibaka au majambazi ambapo watahitajika kuzitumia, wengi wa matajiri wanamiliki bastola kama ufahari tu au kwa ajili ya kujilinda na uadui/visasi katika biashara au kazi.

Watu wanaohitaji bunduki zaidi ni waliopo mitaa ya changanyikeni, watu wanaopaki gari mtaa mmoja na kwenda kulala kwao kwa miguu mtaa mwingine, mitaa iliyojaa chocho na ya giza n.k Mitaa ya aina hii ndio watu wake wanahitaji bastola zaidi.
 
Ukiwa na silaha hata ukitembea nayo ni nadra Sana kuvamia Ili uifanyie majaribio,sababu wizi ni roho yaani pepo so na mapepo yanawaepusha vibaka,wezi sehemu za hatari.Maana wezi wote ni lazima awe na mganga wake,kwa maana mganga ni mfanyabiashara kwake pesa ndio muhimu.Wachache Sana wenye confidence ya kufanya uhalifu kwa akili zao wenyewe.
 
wanajua Mitaa ya kujidai,Uswahilini ,Wakiingia hapa wanatoka kule
Na mitaa iliyonyooka iliyopangika huwa vibaka awasogei labda wazee wa Kazi majambazi na jambazi aingii sehemu bila mchongo anajua anafata nini na una bei gani anakuwa na taarifa zako zote tokea kwa watu wako wa karibu.
 
Wengi wanaomilikishwa hizo silaha wanakaa mitaa ya kitajiri yenye usalama masaa 24 sio rahisi wakutane na vibaka au majambazi ambapo watahitajika kuzitumia, wengi wa matajiri wanamiliki bastola kama ufahari tu au kwa ajili ya kujilinda na uadui/visasi katika biashara au kazi.

Watu wanaohitaji bunduki zaidi ni waliopo mitaa ya changanyikeni, watu wanaopaki gari mtaa mmoja na kwenda kulala kwao kwa miguu mtaa mwingine, mitaa iliyojaa chocho na ya giza n.k Mitaa ya aina hii ndio watu wake wanahitaji bastola zaidi.
Nina miama 10 tangu nipate hiyo fire army licence.
Silaha ni silaha haijalishi ni pistol au bunduki.

Kuna wenye wanaomba kwa ajili ya uwindaji na wale wanaomba kwa self defense.

Lakini ukweli nakwambia wamiliki wengi wa silaha hazijawahi kuwasaidia zaidi ya kuwadhuru wao au wenza wao.

Labda wenye silaha kama shot gun na rifle zimewasaidia kwa uwindaji na kupata kitoweo.
 
Ulishawahi kuitumia silaha tangu uimiliki mkuu
 
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?

Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?

Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
 
Hivyo vitoto vinawaonea mkivichekea
Wewe wasema. Panya road walishawahi kufunga barabara ya Kigogo, polisi wakaja panya wakakabiliana nao huku barabara haipiti gari mpaka polisi mmoja mwenye mamlaka akaja na spika na kuomba panya road wakae na polisi waongee otherwise damu inaweza kumwagika. Ndio panya road wskaondoa mawe na matairi barabarani na mazungumzo yakafanyika kwa heshima zote.
Tatizo huwezi ku identify Nani Ni panya road na yupi sie.
 
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?

Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?

Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
Proved you have a good brain and you use it.
Mijitu hapa inahisi tatizo la panya road litatatuliwa kwa mtutu wa bunduki tu.
 
Back
Top Bottom