Panya Road wamerudi, tuchukue tahadhari, Polisi Dar wafanya msako wawanasa waliowapiga watu mapanga

Wewe wasema. Panya road walishawahi kufunga barabara ya Kigogo, polisi wakaja panya wakakabiliana nao huku barabara haipiti gari mpaka polisi mmoja mwenye mamlaka akaja na spika na kuomba panya road wakae na polisi waongee otherwise damu inaweza kumwagika. Ndio panya road wskaondoa mawe na matairi barabarani na mazungumzo yakafanyika kwa heshima zote.
Tatizo huwezi ku identify Nani Ni panya road na yupi sie.
Hao sio panyaroad ni wakaazi waliokuwa na madai yao.Au walikuwa machinga labda.
Sasa panyaroad wanasilaha gani au mafunzo ya panyaroad upelekewa killing squard wanakula vyuma kama walivyokula commando yosso wakapotea, Hakuna kundi hatari dar enzi hizo kama commando yosso,mrema akiwa Waziri wa mambo ya ndani akawapa ultimatum,nao wakamjibu akawapelekea moto wakasambaratika na kupotea kabisa.
unajadiliana nini na panya sasa panya analiwa na paka.
Hofu ya wakaazi ni kulipiziwa kisasi hivyo wapo radhi waingiliwe.
Hao mkiwavalia ninja mkapata mizoga hata mitatu tu awarudi tena.
Ha
 
Unapokuwa kibaka au mwizi means umesaini hati ya kifo so kutendwa chochote ni haki yako.
 
Vibaka na machangudoa ni zao la wamama wa uswahilini kuzembea kwenye malezi.Wao upokea wapewavyo na vijana na mabinti zao bila kuhoji vimepatikana wapi.
 
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?

Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?

Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
Suala la malezi ni suala binafsi pia ni mtambuka.Wamama wa uswahilini ndio wanufaika wa tabia mbaya za watoto wao, Hakuna mzazi hasa mama asiyejua mwanae ni kibaka au changu doa,maadamu ananufaika na mapato haramu kwake ni sahihi.
Hakuna njia sahihi iletayo matokeo chanya kama kuwamaliza angalau idadi yao inapungua,
 
Kama wazazi wananufaika na hizo tabia na wao maadam ni sehemu ya jamii basi jamii imeruhusu kumea kwa hao vijana hivyo ijilaumu yenyewe na ......toka muanze kuwaua wamepungua?
 
Zalau ya kiwango cha PHD ivi kweli vijana wenye mapanga na marungu wafunge mtaa na wanaume mpo tuu achilia mbali polisi
 
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?
Umeuliza swali zuri sana. Njia za kuondosha hili ziko mbili,moja ni ya muda mrefu ili kuifanikisha na nyingine ya haraka ambayo wahusika wameitaja,hii njia ya pili nayo ina namna yake bora yenye kuleta tija yaani hii njia ya kuua cha msingi irasimishwe tu.

Kingine kinachowafanya vijana warudie matukio ni sababu sisi wanadamu tunasahau sana.

Chukulia hukumu ya hao vijana ingetangazwa hadharani na serikali ya kuwa mtoto atakaye kamatwa amehusika katika uporaji basi atafanywa kadha wa kadha tena hadharani. Vibaka kama hao siyo kuwaua ni kuwakata viungo tu.
 
Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?
Shida nguvu yenyewe haitumiki ipasavyo.
 
Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
Hii ndiyo njia ya kwanza ninayo ikusudia na inataka maandalizi na muda mrefu. Sasa jalia ni jamii ambayo imeshaoza kwa malezi mabaya. Suluhisho ni kutumia nguvu kwa usahihi.
 
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?

Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?

Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?

Proved you have a good brain and you use it.
Mijitu hapa inahisi tatizo la panya road litatatuliwa kwa mtutu wa bunduki tu.
Panya road cha mtoto tu, hakuna kundi lilikuwa hatari kama Kama Comando Yoso, baada ya wananchi wa Magomeni, mburahati na viunga vyake kuchoshwa nao uliundwa mkakati mzito.

Kiliombwa kibali kwa RPC cha kuuwa na kilitolewa, kwakuwa wanajurikana ni mtoto wa nani unafuatwa nyumbani kwenu baba yako au mama yako anaambiwa tuketee mtoto wako unatoka nje unauwawa mbele ya mzazi wako.

Hii ndio njia ilisambaratisha kundi la Comando Yoso na wengine kukimbia mikoani au nchi jirani na huo ndio ukawa mwisho wa Comando Yoso.

Hakuna namna nyingine ya kudeal nao zaidi ya kuwauwa tena vifo vya kikatili.
 
Uswahilini ataua wengi wasiohusika, tena watoto wadogo. Hiyo mbinu siyo nzuri hata kidogo.
Vibaka unawaita watoto? Nyie watu vipi mnatakaje sasa. Watoto gani wanavamia raia na nondo, mimi ninacholenga ni usalama hayo mambo mengine ni collateral damage tena kwa nadra sana. Watoto usiku wanatafuta nini mtaani na wahuni.

Kwanza panya road ni under 18 sasa kama tunawaacha basi tukubaliane
 
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?

Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?

Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
Basi wabakaji nao wawe wanatafutwa chanzo chao mahakama iseme walikuwa na nyege hivyo waachiwe next time serikali au jamii itafute namna kuwafanya wasiwe na tamaa. Mahakamani mara kibao huwa nasikia ombi kuwa prosecutor atoe hukumu kali ili liwe fundisho kwa wengine. Sasa na sisi uraiani tutoe fundisho kali kuwa ukiwa panya road ni kukaribia kifo.

Mambo ya diplomasia kwenye wajinga hayasaidii. Kama vipi na majambazi tuwaombe mazungumzo. Wezi, mafisadi, etc
 
Back
Top Bottom