Migatogubiswe
Member
- Sep 1, 2021
- 33
- 41
Basi endeleeni kuwafuga.Utawachinjaje watu 40&50 wanaotembea kwa pamoja ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi endeleeni kuwafuga.Utawachinjaje watu 40&50 wanaotembea kwa pamoja ?
Mkuu umeambiwa muwafanye nini?Tutajitahidi Mkuu.
Hao sio panyaroad ni wakaazi waliokuwa na madai yao.Au walikuwa machinga labda.Wewe wasema. Panya road walishawahi kufunga barabara ya Kigogo, polisi wakaja panya wakakabiliana nao huku barabara haipiti gari mpaka polisi mmoja mwenye mamlaka akaja na spika na kuomba panya road wakae na polisi waongee otherwise damu inaweza kumwagika. Ndio panya road wskaondoa mawe na matairi barabarani na mazungumzo yakafanyika kwa heshima zote.
Tatizo huwezi ku identify Nani Ni panya road na yupi sie.
Suala la malezi ni suala binafsi pia ni mtambuka.Wamama wa uswahilini ndio wanufaika wa tabia mbaya za watoto wao, Hakuna mzazi hasa mama asiyejua mwanae ni kibaka au changu doa,maadamu ananufaika na mapato haramu kwake ni sahihi.Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?
Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?
Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
🥴🥴Mkuu umeambiwa muwafanye nini?
Kwa sababu ya RufijiKwa nini umeweka picha ya jiwe sasa?
Kama wazazi wananufaika na hizo tabia na wao maadam ni sehemu ya jamii basi jamii imeruhusu kumea kwa hao vijana hivyo ijilaumu yenyewe na ......toka muanze kuwaua wamepungua?Suala la malezi ni suala binafsi pia ni mtambuka.Wamama wa uswahilini ndio wanufaika wa tabia mbaya za watoto wao, Hakuna mzazi hasa mama asiyejua mwanae ni kibaka au changu doa,maadamu ananufaika na mapato haramu kwake ni sahihi.
Hakuna njia sahihi iletayo matokeo chanya kama kuwamaliza angalau idadi yao inapungua,
Rufiji ndio sheria ilikuwa inaruhusiwa kuchukuliwa mikononi?Kwa sababu ya Rufiji
Sidhani kama ni njia salama.Usiku wa manane usiyehusika unafanya nini nje.Ukishakuwa kibaka wewe sio mtoto tena
Mr hii coment ni kipimo tosha cha ujinga wako kama unadhani kuna mtu ni mjinga basi wewe ndiyo namba mojaWajinga wa mikoani mna matatizo sana, Panya road wapo wapi?
Umeuliza swali zuri sana. Njia za kuondosha hili ziko mbili,moja ni ya muda mrefu ili kuifanikisha na nyingine ya haraka ambayo wahusika wameitaja,hii njia ya pili nayo ina namna yake bora yenye kuleta tija yaani hii njia ya kuua cha msingi irasimishwe tu.Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?
Shida nguvu yenyewe haitumiki ipasavyo.Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?
Hii ndiyo njia ya kwanza ninayo ikusudia na inataka maandalizi na muda mrefu. Sasa jalia ni jamii ambayo imeshaoza kwa malezi mabaya. Suluhisho ni kutumia nguvu kwa usahihi.Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?
Kama nguvu pekee ndio suluhisho mbona bado wapo wengi tu hao 'panya road japo wapo waliouawa na raia wenye hasira au waliofungwa?...hamuoni kwamba matumizi ya nguvu pekee yameshindwa kumaliza hilo tatizo?
Kumbukeni wengi wao hawa 'panya road' ni vijana wadogo sana ambao mfumo wa malezi mabovu ambao ni athari ya jamii iliyovurugika na mazingira waliokulia/waliolelewa yamewafikisha hapo....Sasa mtawaua wangapi au mtawajaza magerezani wengi kiasi gani ili tatizo liishe?...hamuoni mnapambana na matokeo badala ya chanzo?
Panya road cha mtoto tu, hakuna kundi lilikuwa hatari kama Kama Comando Yoso, baada ya wananchi wa Magomeni, mburahati na viunga vyake kuchoshwa nao uliundwa mkakati mzito.Proved you have a good brain and you use it.
Mijitu hapa inahisi tatizo la panya road litatatuliwa kwa mtutu wa bunduki tu.
Professional hunter.
Vibaka unawaita watoto? Nyie watu vipi mnatakaje sasa. Watoto gani wanavamia raia na nondo, mimi ninacholenga ni usalama hayo mambo mengine ni collateral damage tena kwa nadra sana. Watoto usiku wanatafuta nini mtaani na wahuni.Uswahilini ataua wengi wasiohusika, tena watoto wadogo. Hiyo mbinu siyo nzuri hata kidogo.
Basi wabakaji nao wawe wanatafutwa chanzo chao mahakama iseme walikuwa na nyege hivyo waachiwe next time serikali au jamii itafute namna kuwafanya wasiwe na tamaa. Mahakamani mara kibao huwa nasikia ombi kuwa prosecutor atoe hukumu kali ili liwe fundisho kwa wengine. Sasa na sisi uraiani tutoe fundisho kali kuwa ukiwa panya road ni kukaribia kifo.Wadau wengi kwenye huu uzi hamjatoa njia mnazoona ni suluhisho la kutatua hili tatizo, sana sana mnashauri wauawe au mnaona matumizi ya nguvu pekee ndio suluhisho?