kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Wanaume wa daa mmelegea sanaKaka wewe panya road au kiboko msheli penda uwasikie tu ukiwa huko kwenu Oysterbay. Sisi wa Kigogo na Mburahati tunaelewa mtu akisema panya road anasema nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa daa mmelegea sanaKaka wewe panya road au kiboko msheli penda uwasikie tu ukiwa huko kwenu Oysterbay. Sisi wa Kigogo na Mburahati tunaelewa mtu akisema panya road anasema nini
Kiuhalisia ulinzi ni mazingira yale unayoishi na siyo silaha unazomiliki,,,, ukiwa unaishi maeneo ya nje ya mji na una bastola, kwanza unakuwa target pendwa na majambazi maana wanaitamani... Na wakija ukiwadhuru tayari umenunua ugomvi ambao wanaoku-track wewe huwafahamu, labda uwe mkubwa serikalini kidogo wanaheshimu...Ukiwa na mke mshali au mke moto usiweke bastola nyumbani badala iiue jambazi itakuua wewe
Uswahilini ataua wengi wasiohusika, tena watoto wadogo. Hiyo mbinu siyo nzuri hata kidogo.Mbinu yako ni nzuri lakini unaweza kuuwa na wasiohusika kitu ambacho ni kibaya kuliko hao panya road.
Usiku wa manane usiyehusika unafanya nini nje.Ukishakuwa kibaka wewe sio mtoto tenaUswahilini ataua wengi wasiohusika, tena watoto wadogo. Hiyo mbinu siyo nzuri hata kidogo.
Karibu na kona ya BwiruKwa hapa Misungwi hiyo karakata ipo wap
Air port karakata ni wapi ?Soma vizuri thread jamaa amesema ni wapi
True vibaka uiba mitaa dhaifu,Morogoro kuna mtaa wamejenga wanajeshi awagusi hata mlango lala wazi,kitunda kwa wakuriya wanapaogopa kama ukoma.kuna sehemu niliishi eti wezi wa wilaya nzima wanajulikana kabisa yaani na wanafanya matukio kila siku,akikuibia basi utaskia huyu tumpeleke kwa mama yake ni fulani na asilimia kubwa pale huyu ni mjomba wake ,huyu ni mtoto wa dada ,huyu ni mtoto wa mama yake mdogo na huyu ni bro wake
anakuja anaiba na ashajua hata akikamatwa anapigwa na chupa ya fursana tu na kuambiwa ukome tena usirudie tabia hiz na mwishowe fursana ile ile unamuona huyo anaondoka huku anainywa wewe unabaki na wazee wake kwa kuwa unawaheshimu wanakupoza unatulia (ujirani mwema) KAZI YAO INAENDELEA
nikasema haya bwana kwa kuwa ameiba nokia ya tochi tu acha nikaushe
akafanya mazoea
nikabadili ratiba ya kurudi usiku sana,narud mapema na kwa kuwa nyumba ziko mbalimbali naingia natulia kama hakuna mtu tena kuna timing zangu nazfanya naitega kufuli kama vile ''hajarudi bado" kumbe nipo chumban napiga vyombo
nipo chumbani nawasikia mateja wanayapanga mambo yao mmoja akabinjuka akaingia namsoma tu anamwambia jamaa yake kafunga nje kama kawaida huku ndani kupo wazi,akafungua geti akaingia kwa sebule akachukua simu akatia mfukoni akaanza kuchomoa waya za komputa kwenye cable akamaliza akalaza monita kwenye mashine anainua tu atoke nimemfika nilimwambia nakuua kimyakimya au labda wewe ndio utaita watu nilimshusha bega kwa pigo moja tu la panga aliita kweli watu wakajaa
mpaka leo convoy yake yote wamekuwa ni rafk zangu,maana mwenzao ni mlemavu maisha yote na nilimpeleka sehemu mbaya yeye na convoy yake waliacha kuiba maeneo hayo wamebaki tu kuniomba fegi na kunilinda kama kuna teja mgeni anaambiwa mapema.hivyo hawa waTU ni kama tunawafuga maana unakuta mpaka mama zao wanajua wanachofanya mitaan
hii leo nilikuwa nao nashuka kwenye haisi mmoja akanishtua vp bro kesho tunakuletea kuku wa sikukuu saa ngapi utakuwepo home,nikawaambia shemej yenu hayupo nyinyi njooni tu muda wa jioni niwape sport na tung mkapge na watafka na ndio siri zote za mji nazipata kwao
hawa vibaka hawana urafiki wala kujuana labda uwaonyeshe show na wajue wewe ni ZAIDI kuliko WAO.ukikaa kila jambo uwalaumu polisi polis huku unajua mtoto wa dada yako na kundi lake ndio wanaoongoza kikosi cha wizi ubakaji na uporaji ni ungeserema
USHIRIKIANO HATUNA NDIO MAANA WANAPATA NGUVU
ukiibiwa ama kufanyiwa uhalifu ndio utajua uchungu wake
Ngumu kabla police awajafika utawanyika huwa wanazuka dakika 10 wanaharibu wanapoteaPolisi wanasubiri nini kuwamininia Risasi hao panya?
Acheni uoga wa kifisi, pambaneni kiume.Kaka wewe panya road au kiboko msheli penda uwasikie tu ukiwa huko kwenu Oysterbay. Sisi wa Kigogo na Mburahati tunaelewa mtu akisema panya road anasema nini
Hama huo mtaa, hiyo ni jehanamu ndogo.Kabla hamja ji organize Wana kua na taarifa zote.
Huku Kigogo Ni kwamba kila nyumba Ina mtoto wa kike Malaya, Ina mtoto panya road, Ina mtoto Teja, Ina mmachinga, Ina mtoto kibaka. Kila nyumba Ina mmama mbea ambae hakai na Siri nusu saa.
Kila nyumba Ina mbaba mlevi.
Sasa mnajioganaiz vipi bila hizi taarifa kuvuja.
Kwa taarifa yako huku nyumba moja Ina familia sita.
Mama mkanye mwanaoKhaaa hivi watu kama ninyi tunaishi na ninyi humuhumu mitaani?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa nini umeweka picha ya jiwe sasa?Tusijichukulie sheria mkononi, hiyo ni principle yangu, maana itauma sana kama mtu asie na hatia akafanyiwa unyama
Previous Day's ,Walivamia baadhi ya Sehemu ya Maeneo Buguruni ,Wakakutana na Sungusungu ,Walizichapa bahati mbaya walizidiwa nguvu ,Sungusungu mMoja alikatwa katwa Mapanga,yupo Mwananyamala akiendelea kutibiwa majeraha yake.Usiku wa manane usiyehusika unafanya nini nje.Ukishakuwa kibaka wewe sio mtoto tena