T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hawajaanza na hapa tunatafuta solution ila pendekezo ni hilo la kutafuta mbinu ya kuwaua bila kuleta mambo mengi.Kama wazazi wananufaika na hizo tabia na wao maadam ni sehemu ya jamii basi jamii imeruhusu kumea kwa hao vijana hivyo ijilaumu yenyewe na ......toka muanze kuwaua wamepungua?
Kama unaona kuna njia haraka na more effective itaje tuwasaidie wahanga