Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Takwimu zinaonesha waliomilikishwa silaha wengi hazijawasaidia kujilinda zaidi ya kujiuwa au kuwauwa wenza wao.Serikali ilegeze masharti ya watu kupata bastola za kujilinda, zama zimebadilika sio matajiri na viongozi tu wanaopata matishio ya usalama na hivyo bastola isiwe privilege kwa makundi hayo tu.
Hata ya kwangu nimeiondowa nyumbani nimehifadhi sehemu nyingine, kama una umri wa kutosha utaelewa nimeandika nini.