figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
😂😂😂Wanakata Nyaya hao wanaharibu kwer kwer vitu alafu hawaogopi watuKuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
Itakuwa wachina wenyewe ndo wamewaleta kwa kazi maalumKuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
😆😆😂Wanapenda sana makochi ya recliner nimewaona jana.sebuleni