PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Paka wenyewe kilasiku wanashinda kwenye vibanda cha chips kama mademuLabda paka wa Dar kama ambavyo wanaume wa Dar hapa wanalalamika kuhusu panya wakati kwa kina Lucas Mwashambwa ni mboga

We jamaa 😂Paka wenyewe kilasiku wanashinda kwenye vibanda cha chips kama mademu
Hatari sanaHUENDA wanajivunia Kung Fu zao ila kwa mieleka ya kibongo watachakaa.
Ama ndio ubaya ameleta M pox tue makini maana ata magengeni madukani biskuti hawaliHUENDA wanajivunia Kung Fu zao ila kwa mieleka ya kibongo watachakaa.
Lissu awatumie hao panya kwenye maandamano sababu wafuasi wake ni waoga!Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
View attachment 3279342
Wanakula hadi mito😀😀Ficha chakula, wakikosa option ya kula
Watanasa kwenye mtego
Wachina watasingiziwa kila kitu,Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
View attachment 3279342
Wachina wameanza taratiiiiiiibu 🥱Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Mbona picha huyo panya ni mswahili mweusi mwenzetu? Ni mchina kivipi?Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
View attachment 3279342
Mkuu hili sio tatizo la Dar tu, kama unakumbuka mwaka jana jiji la Paris lilitangaza hali ya dharura kutokana na panya ambao hawali vyakula vyenye sumu na huwanasi kwa mitego. Kwa hiyo panya pia wame undergo mabadiliko akili yao imekua.Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.