Panya wakichawi tu hao...Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
View attachment 3279342
Ooh kumbe?Tumia mtego wa kufyatua anaponasa mmoja, uoshe mtego harufu itoke, tega Kwa mara nyingine
HUENDA wanajivunia Kung Fu zao ila kwa mieleka ya kibongo watachakaa.πππWanakata Nyaya hao wanaharibu kwer kwer vitu alafu hawaogopi watu
Ila watu π€£π€£hawaitwi panya wa kichina huku wanatambulika kama panya wa mama sa100 ππ
Vita vya UchumiKuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
View attachment 3279342
Kutoka Wuhan LaboratoryHivi hiyo ni kweli mtoa mada?
Usikute ni panya wa kazi maalumu, wale wa kuundwa Maabara
π π πKama kuna majike pelekeni Panya Magawa wa pale SUA ayatafune via vyao
Hakika MkuuKutoka Wuhan Laboratory
Haya nimajini sio panya hata serikali itashindwa kuwadhibiti mwagia maji ya upakoKuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.
Serikali isaidie kuwatokomeza kama walivyo punguza Kunguru.
Nilibahatika kuwaona. Wana mdomo mrefu...
View attachment 3279342
Labda paka wa Dar kama ambavyo wanaume wa Dar hapa wanalalamika kuhusu panya wakati kwa kina Lucas Mwashambwa ni mbogaPaka akikutana na hawa panya anaingia uvunguni kujificha.
Hawa panya huku mtaani wanaitwa "panya wa mama sa100"
Labda paka wa Dar kama ambavyo wanaume wa Dar hapa wanalalamika kuhusu panya wakati kwa kina Lucas Mwashambwa ni mboga