Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

Lissu awatumie hao panya kwenye maandamano sababu wafuasi wake ni waoga!
 
Wachina watasingiziwa kila kitu,
Ila tuache haya mambo, kwa technology ya China wasingeruhusu hawa waharibifu wawepo kwao
 
Mbona picha huyo panya ni mswahili mweusi mwenzetu? Ni mchina kivipi?
 
Mkuu hili sio tatizo la Dar tu, kama unakumbuka mwaka jana jiji la Paris lilitangaza hali ya dharura kutokana na panya ambao hawali vyakula vyenye sumu na huwanasi kwa mitego. Kwa hiyo panya pia wame undergo mabadiliko akili yao imekua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…