Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

Leo nimesikia hii story kuingia google nakutana na page hii moja kwa moja
 
Kuna jamaa yangu ana duka duka alikuwa anaalamika wanakunywa hadi viroba vya pombe kila akiwatega hawapati
 
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele sana na Wanaitana.πŸ˜€πŸ˜€

Nimekumbuka kunguru wa zenji na yale ma mbu ya muhimbili
 
Unganeni muwapigje kelele watarudi na kubaki .ashimomi........Ya South Africa yasije fika huku, maana kule panya walikula hadi lami za barbarani
Acha basiii πŸ˜„πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…