Weka picha mkuuPanya lodi wanatupiga huku njoeni mtusaidie
Jamiiforums njooeni mtusaidie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mleta uzi ndiye aliyepewa kandarasi ya kuchapa vibao vya barabara vilivyoandikwa MOROGORO LOAD! badala ya MOROGORO ROAD,acha hao PANYA ROAD anaowaita PANYA LOAD wamtandike hadi Usukuma Gang wake uishe!
Wewe sema kichekesho sasa wakati dume ya Darisalamu inachezea kichapo mubashara kabisa na inalia kama mtoto mchangaHivi vichekesho huwa mnabuni wenyewe au mnadanilodi wapi?
Hebu mtag Bujibuji Simba Nyamaume vizuri ajitokeze.Ngoja niwatag mods wampeleke @BujibujiSimbaNyanaume akatoe msaada