Panyaa lodi wanatupiga huku tabata njoeni mtusaidie

Panyaa lodi wanatupiga huku tabata njoeni mtusaidie

Halafu unakuta hili ni lizee lizima kabisa na mavuzi yake.
 
Tuache mzaha! Kama hii taarifa ni kweli bas nimeona tatzo kubwa katika matumiz ya emergency calls 911. Sijui tunakwama wapi. Africa tu hii kuna watoto wa 2yrs wanajua kupiga 911.
Hili suala serkali iliangalie kuqepo na special anti crime unit na gari standby. Pia askar wetu waongezewe zana za kaz kama pistol, grunet, fimbo za umeme, risas za kuzimia, radiocalls, bulletproof vests, helicopiter, magari, na gps chips.
Inawezekana! Hasa tukishawalipa symbion!
 
Umeandika panya LODI ....badala ya panya RODI (ROAD) ... imebadili maana kwa kiasi chake
 
Yeroy; Sshyee! Kanyoo! Haiko paka? Subiri inakuja na basi sinatoka huku kwetu saa modya asubuhi. We kamatia tu sana' hiyo ndorokonyi (panya) 🤣 🤣 🤣
 
Wanaume wa Dar bhana.. anajiita nina mke huku analalamikia panya road
 
Kinyerezi sarangaroad inawavutabangi sijapata kuona. Wanakula ndum mchana kweupeee. Ni watoto watoto tu. Sasa Hawa si ndio wanapagawaga
Bangi ni starehe kama starehe nyingine... af wavuta bangi wakinyerez ni wastaarabu tu... unawasingizia tu me mwenyew naishi huku
 
Back
Top Bottom