Papa aliweza kuwapatanisha Salva Kill na Riek Machar. Je, ana nguvu kuliko Jumuiya za Kimataifa?

Mishenyi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
463
Reaction score
750
Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
 
Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo???? Nakumbuka tena mwaka flani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
Labda wanaogopa kufutwa uumini hawa wagombea fito.Amani ya kweli itapatikana endapo hao wagombea fito wasipokuwepo kwenye nyadhifa zao wachaguliwe wengine kuliko wawili waisumbue dunia Pesa nyingi Sana zinapotea kuhudumia wakimbizi zingetumika kwenye shughuli zingine mfano kugharamia tafiti mbalimbali ziletazo faida kwa dunia kuliko kugharamia upumbavu wa wawili walioshiba
 
Labda wanaogopa kufutwa uumini hawa wagombea fito.Amani ya kweli itapatikana endapo hao wagombea fito wakipotezwa au kufungwa jela kisha wachaguliwe wengine kuliko wawili waisumbue dunia Pesa nyingi Sana zinapotea kuhudumia wakimbizi zingetumika kwenye shughuli zingine mfano kugharamia tafiti mbalimbali ziletazo faida kwa dunia kuliko kugharamia upumbavu wa wawili walioshiba
Duh!!! Una misimamo mikali
 
Labda wanaogopa kufutwa uumini hawa wagombea fito.Amani ya kweli itapatikana endapo hao wagombea fito wasipokuwepo kwenye nyadhifa zao wachaguliwe wengine kuliko wawili waisumbue dunia Pesa nyingi Sana zinapotea kuhudumia wakimbizi zingetumika kwenye shughuli zingine mfano kugharamia tafiti mbalimbali ziletazo faida kwa dunia kuliko kugharamia upumbavu wa wawili walioshiba
Mkuu
Hapo hakuna pesa inayopotea. Nataka kukuhakikishia hakuna jambo linalotokea bahati mbaya ulimwenguni
Unafahamu chain ya pesa ya USAID ya chakula kwenda WFP mpaka kumfikia mkimbizi kule nyarugusu~kasulu?

Ulimwengu(world) wetu upo programmed. Wakati sisi tunasoma tuje kulea extended families zetu kuna watu wako mbali zaidi ya hapo[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
Imani ni kitu cha kipekee sana. Wazungu baada ya kuona wafanyabiashara wanapata taabu wakaamua kuleta wamisheni kulainisha mioyo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
Anaitwa Salva Kir. Sio Kill ndugu yangu. Kitu kidogo tu kinaharibu jina la mtu na kuleta maana nyingine kabisa
 
inaelekea upo deep just fafanua zaid hii ishu inakaaje
Mkuu
Hapo hakuna pesa inayopotea. Nataka kukuhakikishia hakuna jambo linalotokea bahati mbaya ulimwenguni
Unafahamu chain ya pesa ya USAID ya chakula kwenda WFP mpaka kumfikia mkimbizi kule nyarugusu~kasulu?

Ulimwengu(world) wetu upo programmed. Wakati sisi tunasoma tuje kulea extended families zetu kuna watu wako mbali zaidi ya hapo[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
Ile nguvu ya Kristo na mamlaka aliyompa Petro haikufia kwa Petro na Pope ndio mrithi wa Petro! Sasa mkitaka zile stori za kumpa utukufu shetani eti ni mambo ya Roman empire blah blah sawa! Ni binadamu kama sisi lakini akishakalia kile kiti anavaa mamlaka ya ukuu wa kanisa la ulimwengu (universal church) ambayo yalitoka kwa Yesu mwenyewe! Soma hapa chini mamlaka haya aliyotoa kwa askofu mkuu wa kwanza (Pope).

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Mathayo 16:18

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Mathayo 16:19

Sasa mnafikiri hizo funguo Petro alikufa nazo? Baadae Yesu aliwapa funguo mitume pia lakini kwa Petro alisimikwa kama kiongozi na baada ya kufa funguo zimeendelea kupasishwa hadi leo na milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom