Labda wanaogopa kufutwa uumini hawa wagombea fito.Amani ya kweli itapatikana endapo hao wagombea fito wasipokuwepo kwenye nyadhifa zao wachaguliwe wengine kuliko wawili waisumbue dunia Pesa nyingi Sana zinapotea kuhudumia wakimbizi zingetumika kwenye shughuli zingine mfano kugharamia tafiti mbalimbali ziletazo faida kwa dunia kuliko kugharamia upumbavu wa wawili walioshibaBaba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo???? Nakumbuka tena mwaka flani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
Duh!!! Una misimamo mikaliLabda wanaogopa kufutwa uumini hawa wagombea fito.Amani ya kweli itapatikana endapo hao wagombea fito wakipotezwa au kufungwa jela kisha wachaguliwe wengine kuliko wawili waisumbue dunia Pesa nyingi Sana zinapotea kuhudumia wakimbizi zingetumika kwenye shughuli zingine mfano kugharamia tafiti mbalimbali ziletazo faida kwa dunia kuliko kugharamia upumbavu wa wawili walioshiba
Amani ya kweli ya sudani aitopatikana kama hao miamba wakiendelea kushikilia nyadhifa zaoDuh!!! Una misimamo mikali
Ila Magufuli hajaenda.Pope ni zaidi ya umjuavyo mkuu...marais wote wa nchi kubwa eg,America,USSR, UK, German,Frans, etc na hata wa Africa huwaga wanaenda Vatican kujitambulisha...hii dunia ina wenyewe sisi tunachezwa kwata tu
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuLabda wanaogopa kufutwa uumini hawa wagombea fito.Amani ya kweli itapatikana endapo hao wagombea fito wasipokuwepo kwenye nyadhifa zao wachaguliwe wengine kuliko wawili waisumbue dunia Pesa nyingi Sana zinapotea kuhudumia wakimbizi zingetumika kwenye shughuli zingine mfano kugharamia tafiti mbalimbali ziletazo faida kwa dunia kuliko kugharamia upumbavu wa wawili walioshiba
Imani ni kitu cha kipekee sana. Wazungu baada ya kuona wafanyabiashara wanapata taabu wakaamua kuleta wamisheni kulainisha mioyo yetu.Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
Anaitwa Salva Kir. Sio Kill ndugu yangu. Kitu kidogo tu kinaharibu jina la mtu na kuleta maana nyingine kabisaBaba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani
asanteAnaitwa Salva Kir. Sio Kill ndugu yangu. Kitu kidogo tu kinaharibu jina la mtu na kuleta maana nyingine kabisa
Mkuu
Hapo hakuna pesa inayopotea. Nataka kukuhakikishia hakuna jambo linalotokea bahati mbaya ulimwenguni
Unafahamu chain ya pesa ya USAID ya chakula kwenda WFP mpaka kumfikia mkimbizi kule nyarugusu~kasulu?
Ulimwengu(world) wetu upo programmed. Wakati sisi tunasoma tuje kulea extended families zetu kuna watu wako mbali zaidi ya hapo[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile nguvu ya Kristo na mamlaka aliyompa Petro haikufia kwa Petro na Pope ndio mrithi wa Petro! Sasa mkitaka zile stori za kumpa utukufu shetani eti ni mambo ya Roman empire blah blah sawa! Ni binadamu kama sisi lakini akishakalia kile kiti anavaa mamlaka ya ukuu wa kanisa la ulimwengu (universal church) ambayo yalitoka kwa Yesu mwenyewe! Soma hapa chini mamlaka haya aliyotoa kwa askofu mkuu wa kwanza (Pope).Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa duniani